Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Soma vizuri uzi. Wanaosikiliza hotuba za hao watajwa watagundua utapeli, unafiki na uzandiki dhidi ya mwendazake ambaye watu kama Mwigulu wanamuita sadist hata kabla hajaoza. Angalia hata namna wanavyopeana vyeo. Nani alijua kuwa mtu kama Kinana ambaye alituhumiwa kusafirisha pembe za ndovu angekuwa kwenye nafasi aliyo nayo baada ya rafiki yake Kikwete kurejea madarakani kwa mlango wa nyuma?Tusaidie kutuonyesha utapeli na unafiki wa hao uliowataja nasi tuchangie
Kaam ni matapeli then they deliver basi huo utapeli wao ndio unatakiwa Kwa Nchi Sasa..Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa. Je naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.
Report ya CAG imeonyesha wezi na wanafiki wengi ,lakin mama anaendelea kuwakumbatia.Aidha ,nikuumbushe tu kuwa ,siku mama hakitoka atakukanwa sana na gmhawa wanafiki.Wao wapo kimasirahi zaidi.Magufuli wamemtukana lakini ,anaendelea kuishi tu wao wanaaibika.Kikwete anaishi lakin amekwisha kufa.Nyerere anaishi ingawa ni mfu.Mkapa ni mfu .Mwinyi ni mfu.Mama jiepushe na chawa ,ili uwe hai hata ukiondoka .Tusaidie kutuonyesha utapeli na unafiki wa hao uliowataja nasi tuchangie
Yeye yupo yupo tu hapo kama pamboWaingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa. Je naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.
Wamemloga haswa hasikii kabisaMama humwambii kitu kwa hao watu,yani hao ndo "the brainy"huko CCM 🤣🤣🤣hata ashauriwe na wataalamu wasomi wanaolipwa kwa kodi zetu,ila hao ulowataja wasipoafiki,ujue hatofuata huo ushauri🙏
Mama hana network kachukua team mtandao ya JK na Lowasa na Rostam...Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa. Je naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.
Mwenyewe kakaa mbalii na akibadili tu chaneliWaingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.
Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa.
Je, naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je, naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je, hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.