Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.
Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa.
Je, naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je, naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je, hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.