Kwanini Rais Samia amewakumbatia matapeli na wanafiki?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.

Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa.

Je, naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je, naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je, hajitambui au hawatambui?

Kuna tatizo kubwa hapa.
 
Tusaidie kutuonyesha utapeli na unafiki wa hao uliowataja nasi tuchangie
 
Soma vizuri uzi. Wanaosikiliza hotuba za hao watajwa watagundua utapeli, unafiki na uzandiki dhidi ya mwendazake ambaye watu kama Mwigulu wanamuita sadist hata kabla hajaoza. Angalia hata namna wanavyopeana vyeo. Nani alijua kuwa mtu kama Kinana ambaye alituhumiwa kusafirisha pembe za ndovu angekuwa kwenye nafasi aliyo nayo baada ya rafiki yake Kikwete kurejea madarakani kwa mlango wa nyuma?
 
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa. Je naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.
Kaam ni matapeli then they deliver basi huo utapeli wao ndio unatakiwa Kwa Nchi Sasa..

Nakufahamisha tuu 👇
 
Eti anawakumbatia wanafiki,wewe ni wale design ya watu wanao dhani Rais ndio kila kitu katika Nchi.
Tambua kuwa hata ungekuwa na hela kama rostam ,na ushawishi kama Kikwete bado utahitaji watu kufika mahala unapopataka.
 
Screenshot_20230626-100927_(1).png
 
Re
Tusaidie kutuonyesha utapeli na unafiki wa hao uliowataja nasi tuchangie
Report ya CAG imeonyesha wezi na wanafiki wengi ,lakin mama anaendelea kuwakumbatia.Aidha ,nikuumbushe tu kuwa ,siku mama hakitoka atakukanwa sana na gmhawa wanafiki.Wao wapo kimasirahi zaidi.Magufuli wamemtukana lakini ,anaendelea kuishi tu wao wanaaibika.Kikwete anaishi lakin amekwisha kufa.Nyerere anaishi ingawa ni mfu.Mkapa ni mfu .Mwinyi ni mfu.Mama jiepushe na chawa ,ili uwe hai hata ukiondoka .
 
Mama humwambii kitu kwa hao watu,yani hao ndo "the brainy"huko CCM 🤣🤣🤣hata ashauriwe na wataalamu wasomi wanaolipwa kwa kodi zetu,ila hao ulowataja wasipoafiki,ujue hatofuata huo ushauri🙏
 
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa. Je naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je hajitambui au hawatambui?
Kuna tatizo kubwa hapa.
Yeye yupo yupo tu hapo kama pambo
 
Mama hana network kachukua team mtandao ya JK na Lowasa na Rostam...
 
Nahisi kuna weakness kubwa sana kwa huyu mama na hawa matapeli na majizi wanaijua!
Hakuna kitu kibaya kama rushwa inayoanzia juu kwani ni ngumu sana kuipiga vita!
Ndio maana wamefikia hadi hatua kubwa hivi ya kufanya ufisadi wa kutisha kuuza bandari yetu kwa faida yao!
 
Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo.

Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba, Nape, Makamba Sr, Kinana na wachumia tumbo wengine wengi wa kisiasa.

Je, naye ni kama wao au hana uwezo wa kujua kuwa kesho watamgeuka kama walivyomgeuka na kumtosa mwendazake? Je, naye ni mpenda sifa na ibada za sanamu? Je, hajitambui au hawatambui?

Kuna tatizo kubwa hapa.
Mwenyewe kakaa mbalii na akibadili tu chaneli
 
Back
Top Bottom