Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Apoteletee wapi?

Si anapendwa na watu wote?

Au ana hofu?
Sukuma gang wote na team 'Jobu' hawampendi, na ukizingatia hapo alikuwa karibu na '18' za Sukuma gang hivyo ulinzi wa sampuli hiyo uliswihi.
 
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?

Ongea na Zanzibar-ASP pamoja na FORTALEZA mkubaliane ni upi ulinzi halisi wa mama. Je ni huo wenye bunduki nyingi na kombania moja ya askari, au nii huu hapa usiokuwa na mbwembwe. Always time tells the truth!


 
Sukuma gang ni dhana ya kufikirika tu!
 
Sukuma gang wote na team 'Jobu' hawampendi, na ukizingatia hapo alikuwa karibu na '18' za Sukuma gang hivyo ulinzi wa sampuli hiyo uliswihi.
Sukuma gang na Jobu gang ni mambo ya kufikirika tu, kiuhalisia hakuna vitu kama hivyo.
 
Raisi alikuwa Kikwete bwana!
Mtu akajilinda wee na mabunduki mafua kidogo tu yakasepa nae.
 
Sukuma gang na Jobu gang ni mambo ya kufikirika tu, kiuhalisia hakuna vitu kama hivyo.
Vipo, factions within CCM zipo na hizijaanza awamu hii bali zilikuwepo since way back.
Huwa zinajiunda kulingana na rais aliyepo madarakani, hata ukicheki cabinet ya Samia amelenga wale anaoamini ni 'watu wake'.
Magu naye alikuwa na click yake huku timu 'Msoga' na akina Kinana na Makamba wakiwa a different faction within CCM, hayo mambo huwa yapo ni kila kundi kupigania interests zake.
 
JF imeshuka sana viwango siku hizi.

Yaani mtu hata hajamaliza wiki, wao wakatangaza ulinzi wake uko hivi na vile, kana kwamba wao ndo walinzi wake.

Ushuzi kama huo wa akina Fortaleza miaka ya mwanzo ya JF usingeuona hapa.
 
Ulinzi unapunguza risk tu za watu kukuondoa ,watu wakiamua wanakuondoa tu hata ungelindwa na Dunia nzima.
 
Ulitaka alindwe na Bunduki chache ili umfanye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…