Wamelala ndio. Ilitakiwa wazuie yote haya kabla, ila kulala kwao wamelazwa tu maana nao ni CCMWizara ya mambo ya nje ihakikishe mfanyabiashara yupi anarudisha pesa wakati Raisi hata jina amegoma kumtaja
Wengine wanalaumu TISS kuwa wamelala wamtafute nani wakati Raisi hata jina lake ana kigugumizi kumtaja ili apate ushirikiano wa vyombo vya dola ndani na nje na watanzania wa ndani na nje
Jina lake kwa nini Raisi hataki kutaja?
Raisi anamwogopa mwizi au?
Raisi kuogopa kutaja jina la Mwizi kuna shida tayari imeanza