Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

Kwani Yusuf Manji hizo mabilioni alikopa lini?

Pili ni sababu gani zilizomfanya awe nje ya Tanzania.? Naomba tuanzie hapo
Ni raia Canada miaka mingi sana kama ni yeye anatuhumiwa
 
Mheshimiwa Rais atoe dokezo kwa taasisi na rasilimali nyingi watu na fedha zilizo chini ya ofisi ya DPP kutoa warranti ya kumsaka awe mtuhumiwa yupo ndani ya nchi au hata nje
Nikiingia pale naagiza nipatiwe orodha ya wakala, taasisi, mashirika, bodi, kurugenzi, Vitengo nakadhalika pamoja na majukumu yao. Kama Kuna Vitengo vinafanya kazi zinafanana naviunganisha!!!
 
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea?. Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo?.

Rais analalamika, yaan RAIS Mwenye Mamlaka na Kila kitu unalalamika?? Kwahiyo unalalamika ili Mtanzania alokosa hata Bima ya Afya ndio aende kumtafuta huyo Mfanyabiashara???

Au ulikua unatupa Taarifa ili tujue mnaiba Pesa za Nchi hii??

Watanzania wataaminije hizo Pesa kachukua Mfanyabiasha?? Kama tuliwah kua na wafanyakazi hewa, Huyo Mfanyabiashara atakuwepo?? Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ? Kwann anshindwa kumtaja?.

Mpaka Rais anasema ametokomea, inamaana wamejiridhisha huyu mtu Hana Nia ya kulipa, Inamaana Wanashindwa hata kumtangaza kwenye Vyombo vya Habari ??

Unajuaa Rais Samia, hata kama Urais ni mtaamu ila acha mambo yasofaaa , Taifa halitaki lugha yako na kiswahili chako lainilaini, huongei na Familia yako, Familia yako unayo hapo Ikulu ,hao ndio uongee nao Kwa kiswahili chako za Zanzibar kama Urais huwezi, achaa!! hukulazimishwa, sio lazima uonekane wee ni RAIS, fahari yako iwe ni Misafara ya magari, Walinzi, na Kila Raha ya Urais, huku Watanzania tunaumia.

Hizo Billion zingefanya mambo mangapi kwenye Taifa hili ambalo Kila siku tunakopa ?.

Basi, sawa kaibaa, Inamaana unashindwa kuziamuru Wizara za mambo ya Ndani na Nje, kushikiliana na Polisi wa kimataifa, kumtafuta huyo mtu? Kama sio Wizi nn?? Bilioni 50 ,kwamba hizo Pesa anatembeaa nazo mkonon au? Sikuna Mahali zimehifadhiwa ??.

RAIS unalia ,unalalamika kuhusu Rushwa na Ufisadi?? na Una Mamlaka .

Alafu Kwa stahili hii mnategema muheshimiwe kweli?? Mnatia hasira sana

Dhahabu zilikamatwa Kenya, ila zirudishwa Tanzania, kwann hili liwe zito ??.

Ninajua Kuna mijizi mikubwa ambayo imekuhakikishia Urais kwa mashariti ya kutulia wao wafanye yao, ila si Kwa stahili hii !!.

Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa !!.

mnatia sana Hasira !!! . Ndio sababu Kila kukicha mnamtukana Hayati JPM !!.

Usalama wa Taifa Mpoo !!! .

TUNAMUHITAJI HAYATI MAGUFULI MPYA !!.
Sawasawa
 
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea? Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo?

Rais analalamika, yaan RAIS Mwenye Mamlaka na Kila kitu unalalamika?? Kwahiyo unalalamika ili Mtanzania alokosa hata Bima ya Afya ndio aende kumtafuta huyo Mfanyabiashara?

Au ulikua unatupa Taarifa ili tujue mnaiba Pesa za Nchi hii?

Watanzania wataaminije hizo Pesa kachukua Mfanyabiasha?? Kama tuliwah kua na wafanyakazi hewa, Huyo Mfanyabiashara atakuwepo?? Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ? Kwann anshindwa kumtaja?

Mpaka Rais anasema ametokomea, inamaana wamejiridhisha huyu mtu Hana Nia ya kulipa, Inamaana Wanashindwa hata kumtangaza kwenye Vyombo vya Habari?

Unajuaa Rais Samia, hata kama Urais ni mtaamu ila acha mambo yasofaaa , Taifa halitaki lugha yako na kiswahili chako lainilaini, huongei na Familia yako, Familia yako unayo hapo Ikulu ,hao ndio uongee nao Kwa kiswahili chako za Zanzibar kama Urais huwezi, achaa!! hukulazimishwa, sio lazima uonekane wee ni RAIS, fahari yako iwe ni Misafara ya magari, Walinzi, na Kila Raha ya Urais, huku Watanzania tunaumia.

Hizo Billion zingefanya mambo mangapi kwenye Taifa hili ambalo Kila siku tunakopa?

Basi, sawa kaibaa, Inamaana unashindwa kuziamuru Wizara za mambo ya Ndani na Nje, kushikiliana na Polisi wa kimataifa, kumtafuta huyo mtu? Kama sio Wizi nn?? Bilioni 50 ,kwamba hizo Pesa anatembeaa nazo mkonon au? Sikuna Mahali zimehifadhiwa?

RAIS unalia, unalalamika kuhusu Rushwa na Ufisadi? Na Una Mamlaka.

Halafu Kwa stahili hii mnategema muheshimiwe kweli? Mnatia hasira sana

Dhahabu zilikamatwa Kenya, ila zirudishwa Tanzania, kwann hili liwe zito?

Ninajua Kuna mijizi mikubwa ambayo imekuhakikishia Urais kwa mashariti ya kutulia wao wafanye yao, ila si Kwa stahili hii.

Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa.

Mnatia sana Hasira! Ndio sababu Kila kukicha mnamtukana Hayati JPM.

TUNAMUHITAJI HAYATI MAGUFULI MPYA.

Wanazuga, ila Ni pesa za kampeni wameiba.
 
Hii nchi dawa yake ni mapinduzi baridi tu,kisha tufyeke kimyakimya hiki kizazi cha mafisadi pengine taifa litapona
Hili swala namlaumu JPM mpaka kesho. Kuna wapuuzi nchi hii ni wa kuua tu na kutupa mizoga maporini huko. Wanakera sana wao na familia zao. Sijui wana roho za rangi gani, hawaoni aibu wala uchungu kwa maslahi ya vizazi vijavyo vya taifa hili
 
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea? Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo?

Rais analalamika, yaan RAIS Mwenye Mamlaka na Kila kitu unalalamika?? Kwahiyo unalalamika ili Mtanzania alokosa hata Bima ya Afya ndio aende kumtafuta huyo Mfanyabiashara?

Au ulikua unatupa Taarifa ili tujue mnaiba Pesa za Nchi hii?

Watanzania wataaminije hizo Pesa kachukua Mfanyabiasha?? Kama tuliwah kua na wafanyakazi hewa, Huyo Mfanyabiashara atakuwepo?? Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ? Kwann anshindwa kumtaja?

Mpaka Rais anasema ametokomea, inamaana wamejiridhisha huyu mtu Hana Nia ya kulipa, Inamaana Wanashindwa hata kumtangaza kwenye Vyombo vya Habari?

Unajuaa Rais Samia, hata kama Urais ni mtaamu ila acha mambo yasofaaa , Taifa halitaki lugha yako na kiswahili chako lainilaini, huongei na Familia yako, Familia yako unayo hapo Ikulu ,hao ndio uongee nao Kwa kiswahili chako za Zanzibar kama Urais huwezi, achaa!! hukulazimishwa, sio lazima uonekane wee ni RAIS, fahari yako iwe ni Misafara ya magari, Walinzi, na Kila Raha ya Urais, huku Watanzania tunaumia.

Hizo Billion zingefanya mambo mangapi kwenye Taifa hili ambalo Kila siku tunakopa?

Basi, sawa kaibaa, Inamaana unashindwa kuziamuru Wizara za mambo ya Ndani na Nje, kushikiliana na Polisi wa kimataifa, kumtafuta huyo mtu? Kama sio Wizi nn?? Bilioni 50 ,kwamba hizo Pesa anatembeaa nazo mkonon au? Sikuna Mahali zimehifadhiwa?

RAIS unalia, unalalamika kuhusu Rushwa na Ufisadi? Na Una Mamlaka.

Halafu Kwa stahili hii mnategema muheshimiwe kweli? Mnatia hasira sana

Dhahabu zilikamatwa Kenya, ila zirudishwa Tanzania, kwann hili liwe zito?

Ninajua Kuna mijizi mikubwa ambayo imekuhakikishia Urais kwa mashariti ya kutulia wao wafanye yao, ila si Kwa stahili hii.

Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa.

Mnatia sana Hasira! Ndio sababu Kila kukicha mnamtukana Hayati JPM.

TUNAMUHITAJI HAYATI MAGUFULI MPYA.
Sheria kali adhabu kali ni kwa watu wanyonge tu
 
Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa
Kikwete ndio Rais mshirika na ndio maana kwenye kila shuhuri muhimu za Serikali badala ya Samia kuongozzana na mum ewe HAFIDH utamuona Kikwete ndio muwakilishi!! Si ulimuona kwenye sherehe ya Kamala Harris Kikwete nids alionekana kinara wakati bwana Hafidh hakuonekana popote!
 
Mimi nakuomba usiendeshwe na mhemko, hisia, munkari na jazba unapoikosoa TAASISI YA URAIS.

Hujakatazwa kuikosoa na kuishauri ila KUMBUKA ina TARATIBU ZAKE. Mojawapo ni kutumia LUGHA YENYE STAHA. Haimainishi kuwa ukitumia lugha yenye staha utaonekana wewe ni muoga.

Nb 1: URAIS NI TAASISI yenye nguvu kuliko zote ndani ya nchi.

Nb 2 :Kumbuka huna uhuru huo unaouringia bali ni kiini macho tu!!!!!!!!!!!!

Ni ushauri tu unaweza kuuchukua ama kuuacha.

Acha vitisho vya kipumbavu huku JF.
Huo utaratibu unaoelekeza Lugha yenye staha ,hiyo taasisi tu upo wapi?
Ukweli acha usemwe Raisi ni mtu tena katiba ina sema "mtu huru" .
 
Back
Top Bottom