Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake.
Rais analalamika, yaan RAIS Mwenye Mamlaka na Kila kitu unalalamika?? Kwahiyo unalalamika ili Mtanzania alokosa hata Bima ya Afya ndio aende kumtafuta huyo Mfanyabiashara???
Au ulikua unatupa Taarifa ili tujue mnaiba Pesa za Nchi hii??
Watanzania wataaminije hizo Pesa kachukua Mfanyabiasha?? Kama tuliwah kua na wafanyakazi hewa, Huyo Mfanyabiashara atakuwepo?? Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ??.
Mpaka Rais anasema ametokomea, inamaana wamejiridhisha huyu mtu Hana Nia ya kulipa, Inamaana Wanashindwa hata kumtangaza kwenye Vyombo vya Habari ??
Unajuaa Rais Samia, hata kama Urais ni mtaamu ila acha mambo ya yasofaaa , Taifa halitaki lugha yako na kiswahili chako lainilaini, huongei na Familia yako, Familia yako unayo hapo Ikulu ,hao ndio uongee nao Kwa kiswahili chako za Zanzibar kama Urais huwezi, achaa!! hukulazimishwa, sio lazima uonekane wee ni RAIS, fahari yako iwe ni Misafara ya magari, Walinzi, na Kila Raha ya Urais, huku Watanzania tunaumia.
Hizo Billion zingefanya mambo mangapi kwenye Taifa hili ambalo Kila siku tunakopa ?.
Basi, sawa kaibaa, Inamaana unashindwa kuziamuru Wizara za mambo ya Ndani na Nje, kushikiliana na Polisi wa kimataifa, kumtafuta huyo mtu? Kama sio Wizi nn?? Bilioni 50 ,kwamba hizo Pesa anatembeaa nazo mkonon au? Sikuona Mahali zimehifadhiwa ??.
Rais Samia, acha mambo ya ajabu, Yaan RAIS unalia ,unalalamika kuhusu Rushwa na Ufisadi?? Mbona unatuletea mambo ya ajabu kabisa haya.
Alafu Kwa stahili hii mnategema muheshimiwe kweli?? ACHENI mambo ya ajabu, mnatia hasira sana
Dhahabu zilikamatwa Kenya, ila zirudishwa Tanzania, kwann hili liwe zito ??.
Ninajua Kuna mijizi mikubwa ambayo imekuhakikishia Urais kwa mashariti ya kutulia wao wafanye yao, ila si Kwa stahili hii !!.
Taifa limerudi Enzi za Jakaya, Wizi Wizi Rushwa Rushwa !!.
mnatia sana Hasira !!! . Ndio sababu Kila kukicha mnamtukana Hayati JPM !!.
Usalama wa Taifa Mpoo !!! .
TUNAMUHITAJI HAYATI MAGUFULI MPYA !!.