Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

Kwani Yusuf Manji hizo mabilioni alikopa lini?

Pili ni sababu gani zilizomfanya awe nje ya Tanzania.? Naomba tuanzie hapo
Ni raia Canada miaka mingi sana kama ni yeye anatuhumiwa
 
Mheshimiwa Rais atoe dokezo kwa taasisi na rasilimali nyingi watu na fedha zilizo chini ya ofisi ya DPP kutoa warranti ya kumsaka awe mtuhumiwa yupo ndani ya nchi au hata nje
Nikiingia pale naagiza nipatiwe orodha ya wakala, taasisi, mashirika, bodi, kurugenzi, Vitengo nakadhalika pamoja na majukumu yao. Kama Kuna Vitengo vinafanya kazi zinafanana naviunganisha!!!
 
Sawasawa
 

Wanazuga, ila Ni pesa za kampeni wameiba.
 
Jambo la Ovyo sana, alafu anakiri Kabisa, Et hata dhamana alizoweka ni fake , so what??.

Hapohapo unashindws kumtaja ??.


Hili suala NYUMA yake hamna Cha mfanyabiashar wala nn!!.

Kweli, wanatuzuga ili wapige pesa
 
Hii nchi dawa yake ni mapinduzi baridi tu,kisha tufyeke kimyakimya hiki kizazi cha mafisadi pengine taifa litapona
Hili swala namlaumu JPM mpaka kesho. Kuna wapuuzi nchi hii ni wa kuua tu na kutupa mizoga maporini huko. Wanakera sana wao na familia zao. Sijui wana roho za rangi gani, hawaoni aibu wala uchungu kwa maslahi ya vizazi vijavyo vya taifa hili
 
Sheria kali adhabu kali ni kwa watu wanyonge tu
 
Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa
Kikwete ndio Rais mshirika na ndio maana kwenye kila shuhuri muhimu za Serikali badala ya Samia kuongozzana na mum ewe HAFIDH utamuona Kikwete ndio muwakilishi!! Si ulimuona kwenye sherehe ya Kamala Harris Kikwete nids alionekana kinara wakati bwana Hafidh hakuonekana popote!
 

Acha vitisho vya kipumbavu huku JF.
Huo utaratibu unaoelekeza Lugha yenye staha ,hiyo taasisi tu upo wapi?
Ukweli acha usemwe Raisi ni mtu tena katiba ina sema "mtu huru" .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…