Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
 
Nauli unampa ww namana inatakiwa aende na kamati ya watu kama 50000 na posho kila mtu MILION 50 per day si Bora asiende
 
Issue ni mwaliko, kwanini wamemkaushia?
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Kwani alipokwenda huko alipokelewa kwa mizinga 21
 
Nyumbu a.k.a haters wa Samia mnatia huruma Kwakweli, mpo chepechepe..........nnnyaaa tu. Hivi ni lini Raisi wa huko amewahi kualikwa hapa?!!!

Zungumzieni kuhusu kufa kwa saccos yenu kesho
 
Back
Top Bottom