Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.

Muulize Mbubujikwa machozi ya furaha, Lucas
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Hahahahahàa kuna kipindi walialikwa sijui wapi kule, nadhani ilikua msibani, wakakusanywa wote kwenye daladala. Ruto ndio alikua konda
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Lissu atamwalika MAANA ndio mshindi.
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Tangu lini CIA wakawa na urafiki na rafiki wa kiuchumi was waarabu na wachina!!?tangu lini!!?

Haijafanyika kwa bahati mbaya!

Halafu huyo Jamaa wa WHO kaja ikulu kufanya nini kwani!!?

Hay Bwana!
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Kule hamna chawa, isitoshe nyie ni koloni, tafuteni pesa kwanza mkae viti vya wakuu
 
Kwa taarifa tu,Hakuna Mwakilishi wa Taifa lolote kutoka Africa aliyealikwa katika hafla ya kumwapisha Trump,hivyo Mataifa yaliyo barani Africa.
 
Ameshakamilisha ndoto yake ya kusafiri na ndege sehemu mbalimbali hivyo amezoea na ndio maana Ghana pia hakwenda
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Vipi kiongozi wa ufaransa kaalikww?

Mliberali Baba ndubwi naye kaalikwa?
 
Ni hivi Uapisho wa Rais wa marekani ni muhimu kwa wamerakani na baadhi ya allies muhimu kwa nchi hiyo na matajiri wachache.Sasa mialiko kwa marais wengine hutolewa kwenye ofisi za mabalozu wanaoziwlkikisha nchi zao hapo marekani.Balozi wetu amehudhuria.
 
Iko live.cnn hakuna hata hao black americans wazungu wabaguzi.kweli.sijui kwanink huwa.tunawashobokea
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Baba ako mwashambwa anasemaje pia
 
Back
Top Bottom