Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

Nyumbu a.k.a haters wa Samia mnatia huruma Kwakweli, mpo chepechepe..........nnnyaaa tu. Hivi ni lini Raisi wa huko amewahi kualikwa hapa?!!!

Zungumzieni kuhusu kufa kwa saccos yenu kesho
Kwanini hajaalikwa?
 
Huyo huyo Trump ndo aliziita nchi za Afrika Sh*t holes.
Sidhani kama zinapewa umuhimu huo
 
Bajeti kubwa ya hizo sherehe ni pesa ya michango binafsi ya watu. Hapo serikali imegharamika kuweka ulinzi tu, mambo mengine yote ni pesa Trump na wachangiaji wake.
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
sio tu samia,wengi tu hawajaalikwa na hakuna rais wa nchi yoyote afrika aliyealikwa
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa?

Who isn't attending?​

  • Narendra Modi:: Indian Prime Minister Narendra Modi was seen as being close to Trump during his first term. Following his election victory in December, Modi was among the first to call and congratulate the President-elect. While the PM will not attend, external affairs minister S Jaishankar will represent him. This is the case with other Quad members Japan and Australia as well, who will be represented by their foreign ministers.
  • Xi Jinping: Chinese President Xi Jinping has been invited to the ceremony, but he won't be travelling to Washington for it. Instead, Xi is sending his deputy Han Zheng.
  • Viktor Orban: Hungary’s Prime Minister Viktor Orban is seen as a close ally to Trump. The Hungarian leader has said that he believes the president-elect will end Russia’s war on Ukraine. He has been invited to the ceremony but will not make it due to a state address, according to local media.
  • Jair Bolsonaro: Former Brazilian president Jair Bolsonaro has been invited, but cannot attend. The Brazilian Supreme Court has refused to reinstate his passport that was confiscated amid several investigations, including alleged attempts to overturn the results of the 2022 general election, which he lost. His wife Michelle will be at the ceremony in his place.
  • Keir Starmer: UK Prime Minister Keir Starmer has not been invited, his office confirmed on Thursday. The Kingdom is sending its ambassador to the US as their official representative. However, Nigel Farage of the Reform UK party, is invited and will be present.
  • Ursula von der Leyen: European Commission head Ursula von der Leyen, and much of the European Union and members of NATO haven't been invited.
  • Olaf Scholz: German Chancellor Olaf Scholz hasn't been invited for the ceremony, with the EU's largest economy sending it's ambassador. An invitation has, however, been extended to Alice Weidel, leader of the far-right Alternative for Germany party (AfD), who will be represented by co-leader Tino Chrupalla.
  • Emmanuel Macron: French President Emmanuel Macron was not invited. France, like most European nations, will be represented by its ambassador to the US.

Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Gentleman,

unaweza kuwaeleza kwa kifufi,
ni Rais gani Africa, Ulaya, Asia na kwingineko duniani amealikwa?

na unafahamu sherehe za uapisho wa rais wa marekani zinamaanisha nini kwa wamarekani? :pulpTRAVOLTA:
 
Nimegundua siasa pia ni chanzo cha psychosis
Siasa inaweza kuwa na athari kubwa kwenye akili za watu, na katika hali fulani, inaweza kuchangia matatizo ya kisaikolojia kama vile psychosis.

Athari hizi zinaweza kujitokeza kupitia njia kadhaa. Kwanza, mazingira ya kisiasa yenye mvutano, kama vile migogoro ya kijamii, maandamano, au machafuko, yanaweza kusababisha msongo wa mawazo.

Watu wanaweza kujihisi wasio salama na kukosa uhakika, hali ambayo inaweza kuongeza hatari ya matatizo ya akili.

Pili, propaganda ya kisiasa na habari za uongo zinaweza kuathiri jinsi watu wanavyofikiri na kujihisi.

Watu wanapokabiliwa na taarifa zinazoshawishi, wanaweza kuanza kuamini mambo yasiyo ya kweli, na hii inaweza kupelekea hisia za kutengwa na kupoteza uhalisia.

Hali hii ni mojawapo ya vipengele vinavyoweza kuleta psychosis, ambapo mtu anajikuta akiona vitu visivyo halisi au kuamini mambo yasiyo ya kweli.

Aidha, siasa inaweza kuathiri afya ya akili ya mtu binafsi kwa njia ya kushinda au kushindwa katika uchaguzi. Watu wanaweza kujisikia huzuni, hasira, au kutengwa kufuatia matokeo ya uchaguzi, na hisia hizi zinaweza kupelekea matatizo ya kisaikolojia ikiwa hazitashughulikiwa.

Kwa ujumla, ingawa siasa yenyewe si chanzo cha psychosis, mazingira ya kisiasa na athari zake kwa jamii yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuibua matatizo ya kisaikolojia.

Ni muhimu kwa jamii kuzingatia athari hizi na kutafuta njia za kusaidia watu katika hali hizi ili kupunguza hatari ya matatizo ya akili yanayoweza kutokea.
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Hiyo takataka iende USA kwa wenye akili zao, kufanya nini! Kujamba!
Mtu ambae ananunua Lexus mpya na mabasi,kwa ajiri ya, kampeni, lakini anashindwa kulisha wa Toto shuleni, na kujenga matundu ya vtoo
 
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.

Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.

Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
5 tena
 
Inawezekana kumejaa...
 
Back
Top Bottom