Nauli unampa ww namana inatakiwa aende na kamati ya watu kama 50000 na posho kila mtu MILION 50 per day si Bora asiendeKwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.
Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.
Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Kwani alipokwenda huko alipokelewa kwa mizinga 21Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.
Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.
Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
🤣Alipokelewa kama mimi tu.
Namwakilisha vipi bila mwaliko? Angealikwa tungemtuma hata Nyani Ngabu au Bufa kutuwakilisha.🤣
Bora akutume ukamuwakilishe