ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huku ataachwa hivihiviSite tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.
Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5 zilizopita, hivyo kulikuwa na uwezekano wa Korona kusambaa.
Kutokana na maelezo mafupi na ya kitaalamu hapo juu, nahisi ilipaswa Rais alipofika TANZANIA aende moja Kwa moja Carenteen Ili akajitenge kwa wiki mbili afanye vipimo vya COVID akiwa sawa aendelee na shughuli za kutangaza Movie yake na Peter ya Royal Tour.
Shukrani kwa wote
Sahivi wanakiri kuwa ipoKwani Corona ipo?Si mlikuwa mnaipinga?Hamuwezi kuwepo bott ways.Mara ipo mara haipo.Make up your minds.
Makamu wa Rais wa Marekani hajachanja?Kwa sababu amechanja, mkiambiwa mchanje mnaleta ubishi, tatizo wanadamu wa siku hizi wabishi sana. Haya nenda kachanje
Ukisha ona na viongozi kuanza kudondoka, mtaanza kusema oh wamerogwa!! Kumbe wamekumbwa na corona!!Huku ataachwa hivihivi
Hawezi kwenda karantini kwa sababu Tanzania hakuna corona. Tanzania tuliifanyia send off corona mnamo 2020! Yeyote anayeamini hivyo hawezi kuambukizwa. Mama anaamini hivyo pia. Tulimtanguliza Mungu kwenye vita na corona. Watanzania tuko salama!! Ndiyo maana hatuhitaji social distancing wala chanjo na maisha yanaendelea!!Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.
Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5 zilizopita, hivyo kulikuwa na uwezekano wa Korona kusambaa.
Kutokana na maelezo mafupi na ya kitaalamu hapo juu, nahisi ilipaswa Rais alipofika TANZANIA aende moja Kwa moja Carenteen Ili akajitenge kwa wiki mbili afanye vipimo vya COVID akiwa sawa aendelee na shughuli za kutangaza Movie yake na Peter ya Royal Tour.
Shukrani kwa wote
Huku ni pahovyo snUkisha ona na viongozi kuanza kudondoka, mtaanza kusema oh wamerogwa!! Kumbe wamekumbwa na corona!!
Mwaka huu 2022 ugonjwa huu wa MCHONGO Kasi yake ni kubwa kuliko mwaka Jana, Tumuombe Mungu sana mwaka huu Ili ATUVUSHE salama. Wengi wanadhani Eti umeisha. Ni Hadi ifike wimbi la 10.Huku ni pahovyo sn
Atarudi na kujibu kwa aibu !.Makamu wa Rais wa Marekani hajachanja?
Hajachanja, Nchi yetu IPO vizuri kiinteligensia, hawawezi kuruhusu kiongozi mkuu afanyiwe majaribio ya chanjo.Kwa sababu amechanja, mkiambiwa mchanje mnaleta ubishi, tatizo wanadamu wa siku hizi wabishi sana. Haya nenda kachanje