Wamemtosa mazima mshikaji wao, nakumbuka enzi zile za mapacha watatu.Kwani JK au Rostam umewaona wameenda kumjulia hali Lowasa?
Kwanza wanaombea atwaliwe kabisaWamemtosa mazima mshikaji wao,nakumbuka enzi zile za mapacha watatu.
Hao ndiyo wanatoa maelekezo kesho Tz iwejeSijawahi
Kwani Kikwete na Lowasa bado ni maswahiba?Kwani samia ni team ya akina jk?
Siyo moja ya majukumu ya rais, wewe ulishaenda kumuona lowassa?Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa maswala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowasa(waziri mkuu mstaafu).
Je, ni lini Rais Samia atamjulia hali mzee Lowasa kama anavyofanya kwa viongozi wengine?
Asanteni