Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.

HJecMl5XwAMUgOW.jpeg

​
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, yatakayofanyika tarehe 29 Mei 2026 Wilayani Chato.

View attachment 3596901
Hakwenda kumzika Lukuvi, uliuliza?
Hakwenda kumzika J Mhagama, uliuliza? Why Suzana!?
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, yatakayofanyika tarehe 29 Mei 2026 Wilayani Chato.

Labda anahusika na kifo cha mwanaye. Who knows?
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, yatakayofanyika tarehe 29 Mei 2026 Wilayani Chato.

Huyu mama siku hizi hana pa kwenda tena.
 
Kwanza kabisa, Samia ni mshenzi wa tabia na muuaji.

Kwa hiyo siko hapa kumtetea, hilo tuweke wazi awali kabisa.

Lakini tuje kwenye point yangu.

Kwani kumzika mama yake Magufuli ni lazima Samia awepo?

Yani mnataka lazima awepo Samia?

Kwa nini?
 
Kwanza kabisa, Samia ni mshenzi wa tabia na muuaji.

Kwa hiyo siko hapa kumtetea, hilo tuweke wazi awali kabisa.

Lakini tuje kwenye point yangu.

Kwani kumzika mamanyake Magufuli ni kazima Samia awepo?

Yani mnataka lazima awepo Samia?

Kwa nini?
Tamaduni za Kiafrika.
 
Tamaduni za Kiafrika.
Nchi haiendeshwi kwa tamaduni, nchi inaendeshwa kwa sheria na katiba.

Na hizo tamaduni hakuna tulipokubaliana ni lazima rais aende kumzika mama wa rais wa awali.

Na hatujawahi kuwa na rais mwanamke, muislamu, hivyo hatuna utamaduni wa rais mwanamke, muislamu, afanye vipi kwenye misiba kama hii.

Na suala zima la kufanya mambo kwa utamaduni ni logical fallacy, inaitwa "argument from tradition", look it up.

Hili suala la kutaka akifariki mtu serikali yote ivunje kazi zake zote iwe msibani ni wazo la kimasikini.

Kwa sababu mtu mmoja tu anaweza kuiwakilisha serikali yote.

Mama yake Magufuli labda hana umuhinu kuvunja ratiba za watu wengi hivyo. Ushawahi kufikiria hilo?
 
Back
Top Bottom