Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

Kwanza kabisa, Samia ni mshenzi wa tabia na muuaji.

Kwa hiyo siko hapa kumtetea, hilo tuweke wazi awali kabisa.

Lakini tuje kwenye point yangu.

Kwani kumzika mamanyake Magufuli ni kazima Samia awepo?

Yani mnataka lazima awepo Samia?

Kwa nini?
Logic kabisa umesema
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, yatakayofanyika tarehe 29 Mei 2026 Wilayani Chato.

Hata Makonda naye hakwenda licha ya kupendwa mno na jpm
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato Mkoani Geita, ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, yatakayofanyika tarehe 29 Mei 2026 Wilayani Chato.

kwani lazima gentleman?

si unaweza kwenda wewe na mwingine na mkamsitiri Bibi yetu na mkawa mmetuwakilisha vema tu?

msiba haunaga haja ya kiherehere 🐒
 
Kwanza kabisa, Samia ni mshenzi wa tabia na muuaji.

Kwa hiyo siko hapa kumtetea, hilo tuweke wazi awali kabisa.

Lakini tuje kwenye point yangu.

Kwani kumzika mama yake Magufuli ni lazima Samia awepo?

Yani mnataka lazima awepo Samia?

Kwa nini?
Script inayotumika kila mara kwamba "makamu wa rais amemuwakilisha rais..." ndio inaleta ukakasi na kuzuia mijadala kama hii. Sioni maana au mantiki yoyote kusema waziri mkuu, waziri au makamu wa rais amemuwakilisha rais katika mambo ambayo sio lazima au muhimu rais awepo mfano haya ya misibia, kusimika maaskofu, uzinduzi wa miradi n.k
 
Script inayotumika kwamba makamu wa rais amemuwakilisha rais ndio inaleta ukakasi na kuzuia maswali kama haya, sioni maana yoyote kusema waziri mkuu, waziri au makamu wa rais amemuwakilisha rais katika mambo ambayo sio lazima au muhimu rais awepo mfano haya ya misibia, kusimika maaskofu, uzinduzi wa miradi n.k
Tatizo linaanza watu wanadai kitu ambacho hakipo kisheria, hakilazimishwi, kipo kiutamaduni tamaduni tu, utamaduni wenyewe hata hatujakubaliana ni upi.

Tuache ujinga.

Mimi nashangaa rais akisafiri kuondoka au kurudi nchini, watu kibao wanaacha kazi zao kwenda uwanja wa ndege kumuaga au kumpokea.

Hao watu wote wanakuwa hawapo maofisini mwao au kwenye kufanya kazi zao nyingine.

Kwa nini tunapenda kulundikanalundikana bila kutumia kanuni ya ku delegate kazi?

Kupoteza muda tu.

Sasa kama Makamu wa Rais kashaenda, kwa nini tunaona ni lazima na rais aende pia?

Sure, Samia is an airhead. Lakini kweli tunataka kufanya rais hana kazi zingine avunje kila kitu kwenye msiba ambao kuna watu washamuwakilisha?

Kwa umuhimu gani alio nao Mama yake Magufuli?
 
Tatizo linaanza watu wanadai kitu ambacho hakipo kisheria, hakilazimishwi, kipo kiutamaduni tamaduni tu, utamaduni wenyewe hata hatujakubaliana ni upi.

Tuache ujinga.

Mimi nashangaa rais akisafiri kuondoka au kurudi nchini, watu kibao wanaacha kazi zao kwenda uwanja wa ndege kumuaga au kumpokea.

Hao watu wote wanakuwa hawapo maofisini mwao au kwenye kufanya kazi zao nyingine.

Kwa nini tunaoenda kulundikanalundikana bika kutumia kanuni ya ku delegate kazi?

Kupoteza muda tu.

Sas akama Makamu wa Rais kashaenda, kwa nini tunaona ni kazima na rais aende pia?

Surw, Samia is an airhead. Lakini kweli tunataka kufanya rais hana kazi zingine avunje kika kitu kwenye msiba ambao kuna watu washamuwakilisha?

Kwa umuhimu gani alio nao Mama yake Magufuli?
Hiyo ya wakuu wa vyombo vya usalama na ulinzi kujipanga airport kumuaga rais anaposafiri au kumpokea akirudi nafikiri ni sehemu ya power showmanship kuwakimbusha raia kwamba yeye ndiye mkuu.
 
Hiyo ya wakuu wa vyombo vya usalama na ulinzi kujipanga airport kumuaga rais anaposafiri au kumpokea akirudi nafikiri ni sehemu ya power showmanship kuwakimbusha raia kwamba yeye ndiye CiC.
Ni ujinga tu.

Ukipiga hesabu kuanzia mafuta yanayotumika mpaka muda unaopotezwa na opportunity cost kuacha kufanya mambo mengine tunapoteza mengi sana.

Huku Africa sehemu nyingi watu wanaishi kama vile muda hauna thamani.

Halafu tunashangaa kwa nini hatuendelei.

Tunatafuta mchawi.
 
kwani lazima gentleman?

si unaweza kwenda wewe na mwingine na mkamsitiri Bibi yetu na mkawa mmetuwakilisha vema tu?

msiba haunaga haja ya kiherehere 🐒
Sauti inatosha au niongeze.

HJecMl5XwAMUgOW.jpeg
 
Hana Raha Mkuu.
Yale ya October 29.
Utekaji.
Vikwavo ulaya.
Mabunge ya Marekani.
Wana Harakati.
Haki za Binadamu.
Watanzania wenye akili.
Njaa.
Lissu.
CHADEMA.
Anateseka sana ila Ndio hivyo ni Mpumbavu.
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nchi haiendeshwi kwa tamaduni, nchi inaendeshwa kwa sheria na katiba.

Na hizo tamaduni hakuna tulipokubaliana ni lazima rais aende kumzika mama wa rais wa awali.

Na hatujawahi kuwa na rais mwanamke, muislamu, hivyo hatuna utamaduni wa rais mwanamke, muislamu, afanye vipi kwenye misiba kama hii.

Na suala zima la kufanya mambo kwa utamaduni ni logical fallacy, inaitwa "argument from tradition", look it up.

Hili suala la kutaka akifariki mtu serikaki yote ivunje kazi zake zote iwe msibani ni wazo la kimasikini.

Kwa sababu mtu mmoja tu anaweza kuiwakikisha sseikaki yote.

Mama yake Magufuli labda hana umuhinu kuvunja ratiba za watu wengi hivyo. Ushawahi kufikiria hilo?
Sawa.
 
Back
Top Bottom