Hutaki ugeni kutoka ikulu?Nitalaumiwa sana.
Hutaki ugeni kutoka ikulu?Nitalaumiwa sana.
Hapo pa lissu B msumi aliyatimba😁😁😁Hana Raha Mkuu.
Yale ya October 29.
Utekaji.
Vikwavo ulaya.
Mabunge ya Marekani.
Wana Harakati.
Haki za Binadamu.
Watanzania wenye akili.
Njaa.
Lissu.
CHADEMA.
Rais Samia au ndugu Samia?Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
Ndugu Samia, nimekopi toka kwa Ayo media, kwenye heading niliandika Samia mod wakaongeza "Rais'.Rais Samia au ndugu Samia?
Nchimbi akiwa Makamu hiyo kazi yake. Msaidizi namba moja wa Rais.Hakwenda kumzika Lukuvi, uliuliza?
Hakwenda kumzika J Mhagama, uliuliza? Why Suzana!?
Mama wa Rais Hana umuhimu huo acheni shobo na kukuza watuMwanamke mwenzake mama wa Rais aliyemwachia kiti.
Ushamba na ulimbukeni huu sasa.Katika walinzi wa raisi nilovutiwa nao ni yule wa magufuli mwamba sijui anaitwa nani yule
Hujakosea from hungumalwaUshamba na ulimbukeni huu sasa.