Kwanini rais Samia havai barakoa akiwa nje ya nchi? Lakini akiwa ndani ya nchi anavaa?

Kwanini rais Samia havai barakoa akiwa nje ya nchi? Lakini akiwa ndani ya nchi anavaa?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered
IMG_20211105_230416.jpg

Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaida
IMG_20211105_230658.jpg
 
Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered View attachment 2000109
Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaidaView attachment 2000110
Wabongo tunajambiana sana bila mpangilio hivyo Barakoa zinamsaidia kupunguza Ukali wa Hewa zetu za Ukaa kutokea Makalioni mwetu kama alivyoagizwa Mkutanoni huko Scotland alikokuwa zisije Kumdhuru Kiafya na asiione 2025 anayoisubiri kwa hamu awe Rais wa Kuchaguliwa na siyo wa Deiwaka Kikatiba kama alivyo sasa.
 
Wageni wanaogopa kuja nchini wanakwapuliwa mikoba yao
 
Kabla haujavaa barakoa jiulize kwanini uvae barakoa.
Haya hapa ni baadhi ya masharti kuhusu wapi uvae barakoa;
1. Sehem ammabzo zimewekewa masharti kwamba huwezi ingia bila kuvaa barakoa.
2. Haujawa vaccinated na unaenda kwa ambao huna uhakika kama wamekuwa vaccinated.
3. Sehemu yoyote unahisi maambukizi kwa njia ya hewa yanaweza tokea kirahisi.

NB: Baadhi ya maeneo anaruhusiwa aliye full vaccinated kuingia bila barakoa lakini halazimishwi kuvua.
 
Tanzania wageni wanaogopa kuja kwakua kuna machinga.
 
Madhara ya kukurupuka ndio hayo. Kwenye hiyo picha hapo juu Rais Samia alikuwa wapi?
JF imekuwa forum ya wakurupukaji wenye goldfish memory, wenye kumbukumbu fupi hata hawakumbuki walikula nini kwenye kufungua kinywa.
 
Ni kweli alipiga picha na Raisi wa Marekani na waziri mkuu wa uingereza akiwa kavaa barakoa wakawa wanamshangaa huyi vipi wakati social distance imezingatiwa kwenye kupiga picha? Walimuona mshamba Fulani hivi au limbukeni wa barakoa.Lakini baadaye naona alinnote kitu maraisi Wengi wa Afrika Kama wa Nigeria nk walikuwa hawavai barakoa ndio akajirekebisha kwenye upigaji picha baadaye akipiga na wengine

Lakini ile picha kituko aliyopiga na Joe Biden Raisi wa Marekani na Waziri mkuu wa uingereza wakimuona kituko ilisambaa Sana
 
Back
Top Bottom