Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
554
Reaction score
916
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.

Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini.

Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za rais kama alivyosema Padri Kitima, katibu wa TEC.

Jamani nimejiuliza na nyinyi tujiize. Siri gani tena kati ya maaskofu katoliki na Rais?

Kama ni siri si wangekutana kisiri ikulu bila kufanya kama jana nusu hadharani nusu kisiri?

Hebu tusaidieni wataalamu humu wa kudadisi na kufukunyua ukweli.
 
Mimi shabiki wa kigogo na katiba ni swala muhimu lkn kwa sasa mama wamuache ana vingi vya ku-fix pressure wanayotaka kumpa watamtoa kwenye reli matokeo yake 2025 ataachia ngazi lije jamaa lingine kutumalizia palipobaki[emoji2959]
 
Tuwekee picha ya hicho kikao cha siri.

Maana wengine hatukuona
 
Mimi shabiki wa kigogo na katiba ni swala muhimu lkn kwa sasa mama wamuache ana vingi vya ku-fix pressure wanayotaka kumpa watamtoa kwenye reli matokeo yake 2025 ataachia ngazi lije jamaa lingine kutumalizia palipobaki[emoji2959]
True say
 
Wewe nimekuelewa
 
Yale madudu ya kila rangi na kabila ya Yohana mwendazake hukuhoji leo unahoji mipango ya mama kwa kumuonaje hasa, kwamba ni Rais daraja la 3 au?

Maaskofu wa TEC sio Alhadi Mussa Ubwabwa, Geor Davie Mashauzi au chifu Mwantambe Lusekelo makonyagi! Huwezi kuwambia ujinga maaskofu wa TEC, wale ni serikali ndani ya serikali, kama unabisha muulize John mwendazake!
 
Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.

Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini.

Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za rais kama alivyosema Padri Kitima, katibu wa TEC.

Jamani nimejiuliza na nyinyi tujiize. Siri gani tena kati ya maaskofu katoliki na Rais?

Kama ni siri si wangekutana kisiri ikulu bila kufanya kama jana nusu hadharani nusu kisiri?

Wakati huohuo Kigogo2004 leo ana tweet anasema Rais Samia katumwa na Kamati Kuu ya CCM kuwazuia viongozi wa dini wasijiingize kwenye suala la kudai katiba mpya lililoanza mitandaoni.

Hebu tusaidieni wataalamu humu wa kudadisi na kufukunyua ukweli.
Sasa kama umeambiwa ni siri, wewe unayafuatilia ya nini? Ingekuwa siri hiyo inakuhusu ungealikwa! Alaaaa.,.....
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hiyo ni siri na acha ibaki kuwa siri, umetaarifiwa kuwa kuna kikao cha siri ili ujue ni siri lakini ni siri yenye nia njema otherwise wangeweza kukutana ikulu kimya kimya kama wangekuwa na nia ovu.
Hao ni watu wenye nguvu na ushawishi zaidi hata ya opposition parties combined together hivyo kuwa na mikakati ya pamoja ni kwa maslahi ya nchi kwani makandokando ya jibwa Hamnazo yanajitahidi sana ku sabotage utawala wa awamu hii ya sita.
 
uyo kigogo ni mwehu tuu sasahiv kakosa ubunifu yaan zile sir alizokuwa akivujishiwa hapat tena ndy maana sikuhiz kakomaa na katba lengo ni kuteka attention ya wajinga wenzake, wazd kumfuata na kumuunga mkono, huyo madam iko waz anafanya kila jitihada za kuikibal covid kwa kuzijumuisha taasisi zote nchini zkubal kumuunga mkono il ajenda yake itimie, kwa bahat mbaya watz weng n wafuas wa dini, na wan amin dini kilko hata kujiamn wao, hivyo bas nae katumia mwanya huo huo wa dini na viongoz wa dini waungane kuja kuwarubun wananchi has yale majinga na mapumbav yakina bendera fuata upepo, wanafanya hayo kuwafurahisha imf tu hakuna lingine, huyo madam siku chache baada ya kifo cha bwana yule, aliwai sema kuwa hatuwez jitenga kama kisiwa, hivyo bas inaonesha ana nia kabsa yakufanya kila lifanywalo na mataifa uko dunian il nae aonekane yumo, ama mwanadiplomasia mzur, nlwah kusema kuwa huyu madam anaweza tunukiwa tuzo ya mwanadiplomasia , na kwel hata vyombo vya western media's propaganda kama BBC vmeanza kumpaisha na kumsifia madam kwa kumkejer bwana yule, haya yote yanafanyika baada ya madam kukubal kwenda sawa na agenda za dunia hii, kila anaefuata matakwa ya dunia lazma apendwe na weng hasa wale wale wakosoaji.......ipo siku mutaelewa
 
Nimekuelewa mkuu.

uyo kigogo ni mwehu tuu sasahiv kakosa ubunifu yaan zile sir alizokuwa akivujishiwa hapat tena ndy maana sikuhiz kakomaa na katba lengo ni kuteka attention ya wajinga wenzake, wazd kumfuata na kumuunga mkono, huyo madam iko waz anafanya kila jitihada za kuikibal covid kwa kuzijumuisha taasisi zote nchini zkubal kumuunga mkono il ajenda yake itimie, kwa bahat mbaya watz weng n wafuas wa dini, na wan amin dini kilko hata kujiamn wao, hivyo bas nae katumia mwanya huo huo wa dini na viongoz wa dini waungane kuja kuwarubun wananchi has yale majinga na mapumbav yakina bendera fuata upepo, wanafanya hayo kuwafurahisha imf tu hakuna lingine, huyo madam siku chache baada ya kifo cha bwana yule, aliwai sema kuwa hatuwez jitenga kama kisiwa, hivyo bas inaonesha ana nia kabsa yakufanya kila lifanywalo na mataifa uko dunian il nae aonekane yumo, ama mwanadiplomasia mzur, nlwah kusema kuwa huyu madam anaweza tunukiwa tuzo ya mwanadiplomasia , na kwel hata vyombo vya western media's propaganda kama BBC vmeanza kumpaisha na kumsifia madam kwa kumkejer bwana yule, haya yote yanafanyika baada ya madam kukubal kwenda sawa na agenda za dunia hii, kila anaefuata matakwa ya dunia lazma apendwe na weng hasa wale wale wakosoaji.......ipo siku mutaelewa
 
Mimi shabiki wa kigogo na katiba ni swala muhimu lkn kwa sasa mama wamuache ana vingi vya ku-fix pressure wanayotaka kumpa watamtoa kwenye reli matokeo yake 2025 ataachia ngazi lije jamaa lingine kutumalizia palipobaki[emoji2959]
Aisee wewe umeona mbali sn na hili ndio litatokea Swala La KATIBA MPYA ni mwiba mkubwa sn hakuna RAIS anaweza kulikubali hili na Huyu MAMA kwasababu ni MUAMINIFU na Anaogopa Mambo mengi kitakacho tokea Pressure ikiwa kubwa sn na uhakika hatoweza kugombea sio tu 2025 au akaishia njiani na akawachia CCM yao.
 
Back
Top Bottom