Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Wangeudhulia wote 54 ndo ingekuwaje?

Hilo nalo mnataka kushindana?
 
UK anapambana na Covid 19, BBI na yule mtukutu Ruto aliyeamua kuanza kampeni miaka 2 kabla ya uchaguzi.
 
Does what you said make Magufuli a democrat or less of a thief... Ama unaamini ktk kifo cha wengi ni harusi?
Mkuu hujui kuwa shetani hana rafiki wa milele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Be careful with JPM he does not beat around the bush! when he doesn't fancy u, remember a month back i said even Raila is no more a friend of JPM n many of u argued!
JPM hatakuwa rais milele. Tumeona wengi wakija na kuenda zao.
 
Wala si corona wala nini.

Uhuru hafanani nao. Waliohudhuria wote jiwe anafanana nao. "Iron fist."

"Birds with the same flock fly together!"



Heko rais Uhuru. Wapo wengi hapa nchini wanao wapongeza wote ambao hawakuja.

Equally said, "waliokuja kama walikuwa hata na ka heshima kidogo bado, nako kamekwenda na maji."

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
JPM amempiga 3 bila so hana hamu naye, hasa akikumbuka SGR, HOSPITALS, AIRPORTS, PIPELINE, FREE EDUCATION, BRT, HIGH CLASS FLYOVERS, AGRICULTURE, INDUSTRIAL REVOLUTION, HAHAHAAA.
 
Only two dictators attended
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…