Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
 
Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Mwenyekiti wa SADC ni rais wa Mozambique.

Halafu huyo aliyevalia "likofia likubwa" ndio kawanyima lile dili la bomba la mafuta pia ndio amebeba kisiwa cha migingo.
 
Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Rais wenu yuko anazurula vatcan huko[emoji28][emoji28][emoji28]. Na hajazuia kiapo imagine[emoji1787]
 
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!
 
Anaogopa kuhudhuria uchaguzi wa vibaka.
 
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!

Kwahiyo alichokosea uliyemquote ni nini? Mbona una kimbelembele mpaka unasahau chupi nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…