Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

Kabla ya kuapishwa kua Rais kamili bado alikua anapangiwa...

Baada ya kuapishwa na kua Rais kamili hapangiwi anaagiza vile anavyotaka iwe...
 
Hawastahili kuuaga, kwanza kwenye utawala wake ameenda Znz mara moja tu, maana yake hakuwajali na wao hawana haja ya kumuaga, na waislamu hawana tamaduni hizo za kuaga marehemu!. Wacha wafu wazikane wenyewe
 
Bado
Mwanzoni tuliambiwa maombolezo siku 14...Mara tena 21 ,kama vile namuona Mzee.wangu alivyokuwa akifanya vitu kwa logic ila tusilaumu sana vitu kama.hivi hutokea ni human error muhimu tumpumzishe Simba wa vita kwa itifaki na heshima zote...ndio kikubwa
 
Umenikumbusha awamu ya pili mama siti Mwinyi alikompeleka mzee Mwinyi kiuongozi, akaja mzee mkapa akakutana na mama anna mkapa, akaja JK akakutana na miruzi mingi kutoka kwà mama Salma. Kipindi hiki first gentle man tunatarajia nini?
 
Kumbuka huyu ni rais wa msiba
 
Wacha Madege yafanye kazi, huu nao ni wakati wa Bombadier kuingia hasara...

Kufa kufaana...
 
Zanzibar ni kutapatapa tu. Wao hawana utamaduni wa kuaga wafu.
 
Mwenyekiti Kamati ya Mazishi unamjua?
 
Unashangaa nini hapo kwani huo mwili unasafilishwa Kwa baiskeli au umaogopea matumizi ya mafuta.na ratiba ya Kwanza mbona alie kuwa makamu wa rais alitoa ratiba baada ya kuapishwa na akawa hakuiweka Zanzibar .Leo ndo imewekwa hio Zanzibar.
 
Gwajma mzee wa ufufuo na uzima yukwapi?
 
Nakwambia Majaliwa kafeli sana, tangu ugonjwa hadi leo kwenye ratiba
 
Msilaumu sana anaweza fufuka na akakabidhiwa nchi upya.tuchelewe chelewe kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…