Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Daaah huyu comedian
Hivi kwa nini watoto wa MWALIM huwa mnawakandia Sana ,akuna binadam asiekua na mapungufu, ila nafikili uwa mwawakandia kimkakati ili familia ya MWALIM isipate kiongozi mkubwa wa kitaifa.
By the way uyu Mwamba ile 2015 binafsi nilikua namkubali Sana kuliko watia nia wote ccm akiwemo mwendazake,
Mapungufu mengine ni yakawaida Sana mfano kupiga mvinyo , wapo wazee wamestaafu wamekua wapiga mvinyo na Bado Wanapiga na busala zao bado zimeendelea kua tegemeo ,achana Wengine ambao tiyari wametanguli mbele za haki
 
Sasa sio kushabikia tu hata Bila kujua maana ya mambo.wakati mwingine kujidai wajuaji Sana kuna shida zake.
Wewe unayejua umetoa somo gani kuwaelimisha wasiojua? Wewe usiye shabiki nini Cha maana au tofauti umeandika? Au Ni majivuno tu ya ujuaji wakati HUNA ujualo! Kosoa halafu onyesha njia!
 
Wewe unayejua umetoa somo gani kuwaelimisha wasiojua? Wewe usiye shabiki nini Cha maana au tofauti umeandika? Au Ni majivuno tu ya ujuaji wakati HUNA ujualo! Kosoa halafu onyesha njia!
Ndugu This is toa maoni yako na sii kukasirika kwa kuambiwa ukweli
 
Hivi pale Ikulu,hawana alcohol text?? Nina Imani kabisa,kama wangeweka hicho kifaa,asingekula kiapo kabisa huyu Mwamba! Hapo alikua kelolo hatari! Uncle Mako! Pale kwao Msasani ana geto lake upande wa kushoto ukiwa unaingia pale kwao!
Inakua kama umelewa pia alcohol text ni nini?
 
Kwa msiojua hiyo ni aina ya salute yani unainuka kidogo unasimamia vidole. Mimi niliijua kipindi nikiwa scout.
 
Hii ni Heshima ya Kijeshi Hajakosea
Angevaa uniform angepiga Salute...
 
Back
Top Bottom