Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Hajastaafu,anaitumia kazi take vizuri sana.
Alipita kupata chochote kabla ya kusimamia vidole.
 
Mh? Kama jaji anatoa maamuzi ya haki si ndio atakuwa mfano wa kuiga. Au hata neno precedence hujui?
Wewe ulipolitumia hilo neno pale haikuwa sahihi; kwa hiyo wewe ndio usiyejua matumizi ya neno hilo.
 
Jamaa kwa utani uyu hajambo.
Hongera and all the best
 
Kwa msiojua hiyo ni aina ya salute yani unainuka kidogo unasimamia vidole. Mimi niliijua kipindi nikiwa scout.
Rais nae akikatiza mbele ya IGP na CDF huwa anakunja ngumi na kunyoosha mikono kama alivyokuwa anafanya hayati JPM. Wale makamanda wanamtazama kiaina, nadhani kimoyomoyo watakuwa wanacheka sana.
 
Rais nae akikatiza mbele ya IGP na CDF huwa anakunja ngumi na kunyoosha mikono kama alivyokuwa anafanya hayati JPM. Wale makamanda wanamtazama kiaina, nadhani kimoyomoyo watakuwa wanacheka sana.
Kitu gani cha kuchekesha hapo? Acha unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…