Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
FNafahamu, kwa Afisa wa jeshi (Kuanzia Second Lieutenant) Lazima isipungue 55
Sasa Bwana Mako ka Staafu 1990 akiwa na umri gani ?
Huyu Msanii hakuwa Mwanajeshi pasee, ni wale waliopelekwa vitani na kurudi
Hutokaa uone akiwa katika Military Uniform
Makongoro asiwe na wasiwasi kuhusu hii appointment.
Ni mwanajeshinaliyesomea urusiHamjui kuwa Makongoro ni askari Jeshi? Kapigana vita ya Kagera huyu sio sawa na haya makinda yanalelewa kama mayai hata ubunge yanapata kwa nguvu za baba zao!!
Mwanajeshi mstaafu. Wanajeshi watakuwa wamenielewa...
Ni mwanajeshi. Amejifunza mizinga Urusi.Nafahamu, kwa Afisa wa jeshi (Kuanzia Second Lieutenant) Lazima isipungue 55
Sasa Bwana Mako ka Staafu 1990 akiwa na umri gani ?
Huyu Msanii hakuwa Mwanajeshi pasee, ni wale waliopelekwa vitani na kurudi
Hutokaa uone akiwa katika Military Uniform.
Nyie wajameni 😁Hapo hakuna sindano inapita[emoji23][emoji23]
Kwa askari yeyote, uwe bado kazini au umestaafu, hiyo ndiyo heshima inavyotolewa kama hujavaa share za jeshi. Unabana mikono, kifua mbele na unainua visigino - kwa ukakamavu. Ni kwamba watu wanapuuzia tu! Lakini mwelekeo ni huo. Zoezi hili ni badala ya kupiga saluti kwa yule ambaye amevaa sare za kijeshi.
Kuna kimoja pia lazima ubane na hujakizungumzia mkuu[emoji41][emoji41]Kwa askari yeyote, uwe bado kazini au umestaafu, hiyo ndiyo heshima inavyotolewa kama hujavaa share za jeshi. Unabana mikono, kifua mbele na unainua visigino - kwa ukakamavu. Ni kwamba watu wanapuuzia tu! Lakini mwelekeo ni huo. Zoezi hili ni badala ya kupiga saluti kwa yule ambaye amevaa sare za kijeshi.
Kwa hiyo huyu bwana siyo chizi, bali anafuata miongozo mizuri vema.
Hicho sikijui! Ni juzeKuna kimoja pia lazima ubane na hujakizungumzia mkuu[emoji41][emoji41]
Mzee wa tungi
Kwa nimjuavyo Kaka yangu huyu najua Nguvu kubwa sana ilitumika Usiku wa kabla wa Tukio Kumzuia asipige ' Gambe ' kisha akaamka nazo hapo Uapishoni Ikulu.
Una maana amekaza ta...ko,[emoji38][emoji1][emoji1][emoji86][emoji86]Hapo hakuna sindano inapita[emoji23][emoji23]
Nyama imegeuka jiwe mkuuUna maana amekaza ta...ko,[emoji38][emoji1][emoji1][emoji86][emoji86]
Maisha hayana kanuni mkuu.Wenzie wanastaafu yeye ndo anapata kazi[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amesimamia kidole gumba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa mbona anajifanyaga chizi au mi ndio huwa simuelewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa msiojua hiyo ni aina ya salute yani unainuka kidogo unasimamia vidole. Mimi niliijua kipindi nikiwa scout.
Hapo alikuwa ameshastaafu. Hata JK alikuwa kanali wa JWTZ akastaafu kwa kuzingatia sheria ya vyama vingi ya 1992 iliyoondoa siasa kwenye majeshi, kwahiyo waliotaka kuendelea na siasa iliwapasa kustaafu kazi ya jeshi kwanza.Ka staafu lini ?
Maana 1995 alikuwa Mbunge kupitia NCCR