Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

captain wa mavi
Mitoto ya kufikia.
nyumba ndogo ya baba. Ndo km hivi
Sababu tu Baba aliwagharamia watoto wakubwa sana na wanajulikana.

Mitoto hii huwaga ina roho za kutu.chuki.uchawi uchawi na visasi sanaaaa!hairidhiki.
Ukiangalia sababu kubwa Mama yao aliachwa na Baba.

nyumba kubwa wakasomea Mikoani kwa kupanda ndege kila likizo.

Nasema na badoo kaka Mako piga kazi mpaka wafeeererr!!! Kwa kinyongo!!!.
 
Sijakuelewa
 
Hakupiga saluti, alitoa heshima ambayo mwanajeshi yoyote ambae hajavaa uniform anapaswa kuitoa.
Nini maana ya kupiga saluti? Au mpaka mtu atumie viganja ndiyo ijulikane kuwa ni saluti? Makongoro alipiga sauti. Saluti maana yake ni salaam na alichofanya Makongoro alisalimia kijeshi. Hiyo ni saluti. Unless kama mimi nimesahau maana ni siku nyingi sana zimepita
 
yess!! wewe umeenda shule kiukweli mleta mada ni mtoto hata salute hajui.

Tuna kazi kubwa mbili
1. Tumfundishe maana ya salute..

Kivipi na kwa nini...wapi...nani..lini..

2 Maana ya kitendo alicho fanya Makongoro!! sasa hii ni kz kum-elimisha mtu km huyu.ndo hasara za utoro drsani na kukacha waalimu!!
Hahahahaha, hivi mkuu salute ni nini kwa kiswahili sanifu??[emoji13][emoji13][emoji3][emoji3]
 
Nadhani alimaanisha anapenda wanawake akiwemo Rais Samia.
Sema Makongoro ni muongeaji sana kwahiyo maelezo yake yalikuwa marefu, hayakufika mwisho.

Makongoro ni mtu wa comedy sana.
I really like listening to him.
 
Back
Top Bottom