Kwanini RC wa Morogoro anang'ang'ania kupewa Barakoa za Devota Minja ili azigawe yeye?

Kama mheshimiwa anavyoua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili kama hizi ndizo zinazorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu!!!!
 

Wanatafuta kusema barakoa zilikuwa na maambukizi ya corona baada ya uchunguzi.
 
Abood kagawa mwenyewe ingawa kuzuga kushirikiana na CCM kizushi waliopuliza dawa Dsm wachunguzwe nini wakati kila kitu kipo wazi acheni kupoteza pesa kumchunguza Daud Bashite wakati mnajua hamuwezi kumfanya chochote
 
Wanatafuta kusema barakoa zilikuwa na maambukizi ya corona baada ya uchunguzi.
Uchunguzi wa CCM kwa kitu cha chadema hauwezi kuwa uchunguzi wa haki hata siku moja lazima watawabambikia chochote waonekane wanagawa vitu feki
 
Kwani yamekuwa ni mashindano?? Mimi naona wote hao ni wapuuzi, huyo Mbunge pamoja na Mkuu wa mkoa..
Usimuonee mbunge ujue mbunge kaenda kwa nia njema lakini RC kajimwambafy kishamba, wewe peleka lawama zako kwa RC acha kumuonea mbunge
 
RC ndio yupo responsible zaidi na lolote just incase likitokea katika hizo barakoa hatukatai msaaada ni jambo zuri ila kama inteligency ya RC imemjuza kuwa zinahitaji kuchunguzwa n Kupata approve basi ndugu Minja (MB) akubali tu kama kweli nia yake nikufikia wananchi bila kutafuta cheap political popularity mana kwanza mi sijaona sababu ya izo barakoa kuwa named jina la MB, Ulinzi na usalama wa Taifa ni wa kwetu sote ila kwa inshu kama hio maamlaka tunazo wacha zitupe approve ya izo barakoa kabla hazitajatufikia sisi end users (consumers)
 
Toeni kauli kwamba ni marufuku mbunge wa chadema kugawa barakoa , msilete vijiporojo visivyo na maana
 
CCM hawawezi kuchunguza kitu cha chadema kisha waseme ni kizuri hujaona sababu ya barakoa kuwa na jina mbona za Abood na pia zile za Rostam Aziz zina majina yao? Ulinzi wa taifa ni kwetu sote Mbona barakoa za Abood hazikuchunguzwa? Mbona mliachia ndege toka china zikamimina wagonjwa wakati kenya uganda Rwanda walikuwa tayari wamezuia ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…