ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kahama ni lango la wapi kama Kigoma ni Lango la Rwanda? Bora hata ungesema lango la Burundi.Dundehead Kigoma ni lango la Rwanda na kule Mwanza ni pathway ya Uganda na Sudan Kusini.
Wanaweza kuunganisha hii reli hadi nchini kwao kama TAZARA mizigo ikawa inasafirishwa kwa ufanisi
Hivi nyie Machadema mlisoma jografia?