Kwanini reli ya Kusini ilisitishwa? Kuna jambo tunafichwa?

Kuna wakati nafikiria Mwenge wa Uhuru unatugeuza mazombi kiaina
 
Tanzania huwa haina utaratibu wa kuachia nyaraka za siri zinapofikia umri wa kueksipaya (Declassified)

Kuna mtu mmoja kutoka serikali ya Uingereza alinisimulia kashfa kubwa ambayo ingegharimu sana reputation ya Malkia wa Uingereza. Jambo lenyewe lipo hivi.

Baada ya Vita ya Pili ya dunia, Uingereza iliongeza makoloni yake ambapo Germany East Africa walipewa Uingereza kwa sababu majeshi yao (KAR) waliwafurusha majeshi ya Ujerumani..

Serikali ya Uingereza walibuni mpango wa kutengeneza na kusambaza Ulaya siagi ya karanga. Hivyo waliweka mkakati wa kuanzisha kilimo kikubwa cha karanga kwenye makoloni yake. Tanganyika ilikuwa miongoni mwa makoloni yaliyoteuliwa kuwemo kwenye mradi huo. Maeneo ya Kongwa Dodoma na Mikindani Mtwara yaliwekwa kwenye mkakati huo. Hiki ndo chanzo cha karanga kulimwa kwa wingi Dodoma na ushoroba wa Singida.

Maafisa wasimamizi wa mradi waliletwa nchini miaka ya 1950s. Aliyenisimulia hii issue ni mtoto wa mmoja wa maafisa wa mradi huu ulioitwa GROUNDNUTS SCHEME. Walikuja na kuishi kwenye quarters za gerezani Dar. Kota hizo zilikuja kufanywa makazi ya wafanyakazi wa reli na hatimaye sehemu ya nyumba ndogondogo eneo la Kamata limevunjwa na Serikali kupisha mradi wa BRT na SGR pamoja na Bandari Kavu.

Kongwa mradi ulienda vizuri, reli ya kati iliyokuwa imejengwa na Mjerumani ilisaidia sana kupeleka pembejeo za kilimo. Ikumbukwe serikali ya Uingereza ilifanya mazungumzo na Marekani ikachukua sehemu kubwa ya vifaru vilivyotumika kwenye vita ya pili ya dunia na ikavikarabati na kugeuza matrekta. Ndo ikawa mwanzo wa trekta zenye magurudumu reli (kama ya vifaru) kuwepo.

Kwa Tanzania ofisi za Groundnuts Scheme zilikuwa eneo ambalo kwa sasa ni Ubalozi wa Zambia Dar.

Makao makuu ya Mradi yalikuwa London. Msimuliaji anasema kuwa jengo la huo mradi sasa linamilikiwa na benki ya Standard Chatterd. Na hata wamiliki hawajui whereabouts za mradi huo. M16 imehusika kwa kiasi kikubwa kulifuta jambo hili kwenye vivid history

Mradi huu upande wa Mtwara, ulipelekea hitaji la kujenga reli ya kusini na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji ikiwemo mkakati wa kuijenga na kupanua bandari ya Mtwara kwa minajili ya usafirishajiwa karanga Uingereza.

Baada ya hatua za awali za kusafisha eneo la.kilimo kufanyika Mikindani. Ikumbukwe udongo wa maeneo yote ya mradi ulipimwa kitaalam kwenye maabara na kuthibitika unafaa. Eneo hilo likageuka kuwa ardhi ngumu ghafla. Hapo awali udobfo ulikuwa wenye rutubana kitifu safi. Uingereza iliyachukua maeneo hayo bila utaratibu kwani ilikuwa ndoyo mkoloni na ikajimilikisha bila kutafiti shughuli za kibinadamu eneo hilo.

Mikindani na Tandahimba ni maeneo ambayo wakazi wa asili wa maeneo hayo wanadumisha mila za miungu ya Kiafrika (Mshana Jr), hivyo matambiko na maombi kwa miungu na mizimu yalikuwa yanafanyika kwenye mapori ya eneo hilo. Msimuliaji aliniambia kuwa kumbe wazee wa eneo hilo walifikisha ujumbe kwa wanyapara kuwa mzungu asifanye lolote eneo hilo mpaka tambiko la ruhusa ya miungu lifanyike.

Baada ya ardhi kugeuka kuwa ngumu, na hili linatokea kabla hata hawajakamilisha clearance ya shamba hilo. Na zikaanza kutokea ajali za ajabu kama vile matekta kuangukiwa na miti mikubwa, majoka kujaa eneo hilo na kadhalika. Waingereza wakaongeza funding ya mradi kwa kusegment irrigation system ili kuhakikisha ardhi inakuwa tayari kwa kilimo. Lakini haikufaidia. Zilitumia fedha nyingi sana kutoka mfuko wa Malkia. Mamilion ya Pounds yaliteketea

Wakati hayo yanatokea, pale bonde la Rufiji ilianza kulimwa pamba. Pamba ile ilikuwa bora kuliko inayolimwa kanda ya ziwa.

Waingereza walipigwa butwaa na matokeo ya kumwama kuendeleza mradi kule Mikindani. Na mpaka leo mtu anayeenda kutembelea huko atakuta scapers za matrekta na zana za kilimo walizoziacha waingereza.madubwasha hayo yapo porini ndani kabisa. Kuna mzee mmoja (Saidi Chopeka) mpaka mwaka 2008 alikuwepo eneo hilo ambaye wazazi wake walikuwa walinzi wa kambi ya shamba hilo.

Serikali ya Uingereza iliamua kuficha hii failure ili kukwepa kuiingiza familia ya Kifalme kwenye kashfa ya aibu. Na hasa baada ya uhuru walifanya makubaliano na serikali ya Tanzania kww kuipatia (malipo?) Incentives za kuhakikisha kumbukumbu ya mradi wa Mikindani inafichwa. Hivyo baadaye hata kuondolewa kwa reli ya kusini ilisemekana ni katika kuficha ama kufunika kashfa hii.

Kwa nini nayasema.haya sasa.
Mama aliyenisimulia, alinionesha evidences nyingi za kuniridhisha zikiwemo picha na hata alipokuja hapa Tanzania na familia yao yeye alikuwa na umri wa miaka 8. Alikuja kusoma baadaye sekondari ya forodhani. Alinipeleka Kurasini kuonanana Sister (bibi haswaa) aliyekuwa Headmistress wa kwanza wa shule ya Forodhani (St. Joseph) iliyokuwa chini ya kanisa Katoliki.

Aliniomba kwamba endapo itatokea akaaga dunia basi nisimulie mkasa huu kwa jamii yangu wajue namna serikali yao inavyohusika kwa sehemu kwenye kukwamisha maendeleo ya kisekta hususan kuushawishi kufa kwa reli ya kusini.

HITIMISHO
Nimetimiza wajibu
Asante kwa kutufahamisha, ila baadhi ya wachangiaji hawaoni umuhimu wa reli hiyo ila kiuhalisia upo

Na upo kwa ajili ya kufika Mbamba Bay na kuunganisha na watu wa Malawi, pia kuchukua makaa ya Mawe , chuma na madini mengine ukiachalia mbali mazao ya kilimo ambayo yapo kule Songea na Mbeya

,haya bado yanahitajika japo mataifa ya Ulaya vitu kama makaa ya mawe wameanza kuacha kuyatumia kisa uharibifu wa mazingira
 
Uishi maisha marefu mkuu
 
Ukisema ground nut scheme haina kumbukumbu unakosea. Kumbukumbu zipo.picha zipo kwa kitabu.labda useme hiyo kuwa ardh ilikua nzur ghafla ikawa haifai pengine huenda ikawa maaana huko kusin kwa utaalam wa asil wapo vizur. Reli ilikua inatokea nachingwea kuja mtwara bandarin ili kusafirisha karanga.na sherehe zilifanyika 1951.mrad ulikula paun mil 36. Hela nying sana kipind hicho.
Ila watu wa kusini wazushi sana, hata mpaka leo hii, wako hivyo hivyo yaani full kurogana.

Ukichukua mtu wa kusini ukamuweka awe mlinzi kwenye mradi wako wa ujenzi, fahamu kwamba huo ujenzi hutamaliza na hilo eneo lako litageuzwa eneo la ngoma, biashara ya gongo na bangi. Na hata ukiamua kuliuza hutaweza.
 
Kusini uchumi wao tu upo chini upeleke reli utasafirisha nini
Kusini wana kila kitu sema tu dini ndiyo imewarudisha wananchi wa kule nyuma sana. Wengi wao kusoma tu ni issue, hawakutaka kusoma kabisa na mpaka leo hii wapo wapo tu wakijifanya Waarab koko wakati hawana lolote. Mtu ukienda kutaka kuwapelekea maendeleo wanakupinga na kutaka kukusomea albadr.
 
Tanzania huwa haina utaratibu wa kuachia nyaraka za siri zinapofikia umri wa kueksipaya (Declassified)

Kuna mtu mmoja kutoka serikali ya Uingereza alinisimulia kashfa kubwa ambayo ingegharimu sana reputation ya Malkia wa Uingereza. Jambo lenyewe lipo hivi.

Baada ya Vita ya Pili ya dunia, Uingereza iliongeza makoloni yake ambapo Germany East Africa walipewa Uingereza kwa sababu majeshi yao (KAR) waliwafurusha majeshi ya Ujerumani..

Serikali ya Uingereza walibuni mpango wa kutengeneza na kusambaza Ulaya siagi ya karanga. Hivyo waliweka mkakati wa kuanzisha kilimo kikubwa cha karanga kwenye makoloni yake. Tanganyika ilikuwa miongoni mwa makoloni yaliyoteuliwa kuwemo kwenye mradi huo. Maeneo ya Kongwa Dodoma na Mikindani Mtwara yaliwekwa kwenye mkakati huo. Hiki ndo chanzo cha karanga kulimwa kwa wingi Dodoma na ushoroba wa Singida.

Maafisa wasimamizi wa mradi waliletwa nchini miaka ya 1950s. Aliyenisimulia hii issue ni mtoto wa mmoja wa maafisa wa mradi huu ulioitwa GROUNDNUTS SCHEME. Walikuja na kuishi kwenye quarters za gerezani Dar. Kota hizo zilikuja kufanywa makazi ya wafanyakazi wa reli na hatimaye sehemu ya nyumba ndogondogo eneo la Kamata limevunjwa na Serikali kupisha mradi wa BRT na SGR pamoja na Bandari Kavu.

Kongwa mradi ulienda vizuri, reli ya kati iliyokuwa imejengwa na Mjerumani ilisaidia sana kupeleka pembejeo za kilimo. Ikumbukwe serikali ya Uingereza ilifanya mazungumzo na Marekani ikachukua sehemu kubwa ya vifaru vilivyotumika kwenye vita ya pili ya dunia na ikavikarabati na kugeuza matrekta. Ndo ikawa mwanzo wa trekta zenye magurudumu reli (kama ya vifaru) kuwepo.

Kwa Tanzania ofisi za Groundnuts Scheme zilikuwa eneo ambalo kwa sasa ni Ubalozi wa Zambia Dar.

Makao makuu ya Mradi yalikuwa London. Msimuliaji anasema kuwa jengo la huo mradi sasa linamilikiwa na benki ya Standard Chatterd. Na hata wamiliki hawajui whereabouts za mradi huo. M16 imehusika kwa kiasi kikubwa kulifuta jambo hili kwenye vivid history

Mradi huu upande wa Mtwara, ulipelekea hitaji la kujenga reli ya kusini na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji ikiwemo mkakati wa kuijenga na kupanua bandari ya Mtwara kwa minajili ya usafirishajiwa karanga Uingereza.

Baada ya hatua za awali za kusafisha eneo la.kilimo kufanyika Mikindani. Ikumbukwe udongo wa maeneo yote ya mradi ulipimwa kitaalam kwenye maabara na kuthibitika unafaa. Eneo hilo likageuka kuwa ardhi ngumu ghafla. Hapo awali udobfo ulikuwa wenye rutubana kitifu safi. Uingereza iliyachukua maeneo hayo bila utaratibu kwani ilikuwa ndoyo mkoloni na ikajimilikisha bila kutafiti shughuli za kibinadamu eneo hilo.

Mikindani na Tandahimba ni maeneo ambayo wakazi wa asili wa maeneo hayo wanadumisha mila za miungu ya Kiafrika (Mshana Jr), hivyo matambiko na maombi kwa miungu na mizimu yalikuwa yanafanyika kwenye mapori ya eneo hilo. Msimuliaji aliniambia kuwa kumbe wazee wa eneo hilo walifikisha ujumbe kwa wanyapara kuwa mzungu asifanye lolote eneo hilo mpaka tambiko la ruhusa ya miungu lifanyike.

Baada ya ardhi kugeuka kuwa ngumu, na hili linatokea kabla hata hawajakamilisha clearance ya shamba hilo. Na zikaanza kutokea ajali za ajabu kama vile matekta kuangukiwa na miti mikubwa, majoka kujaa eneo hilo na kadhalika. Waingereza wakaongeza funding ya mradi kwa kusegment irrigation system ili kuhakikisha ardhi inakuwa tayari kwa kilimo. Lakini haikufaidia. Zilitumia fedha nyingi sana kutoka mfuko wa Malkia. Mamilion ya Pounds yaliteketea

Wakati hayo yanatokea, pale bonde la Rufiji ilianza kulimwa pamba. Pamba ile ilikuwa bora kuliko inayolimwa kanda ya ziwa.

Waingereza walipigwa butwaa na matokeo ya kumwama kuendeleza mradi kule Mikindani. Na mpaka leo mtu anayeenda kutembelea huko atakuta scapers za matrekta na zana za kilimo walizoziacha waingereza.madubwasha hayo yapo porini ndani kabisa. Kuna mzee mmoja (Saidi Chopeka) mpaka mwaka 2008 alikuwepo eneo hilo ambaye wazazi wake walikuwa walinzi wa kambi ya shamba hilo.

Serikali ya Uingereza iliamua kuficha hii failure ili kukwepa kuiingiza familia ya Kifalme kwenye kashfa ya aibu. Na hasa baada ya uhuru walifanya makubaliano na serikali ya Tanzania kww kuipatia (malipo?) Incentives za kuhakikisha kumbukumbu ya mradi wa Mikindani inafichwa. Hivyo baadaye hata kuondolewa kwa reli ya kusini ilisemekana ni katika kuficha ama kufunika kashfa hii.

Kwa nini nayasema.haya sasa.
Mama aliyenisimulia, alinionesha evidences nyingi za kuniridhisha zikiwemo picha na hata alipokuja hapa Tanzania na familia yao yeye alikuwa na umri wa miaka 8. Alikuja kusoma baadaye sekondari ya forodhani. Alinipeleka Kurasini kuonanana Sister (bibi haswaa) aliyekuwa Headmistress wa kwanza wa shule ya Forodhani (St. Joseph) iliyokuwa chini ya kanisa Katoliki.

Aliniomba kwamba endapo itatokea akaaga dunia basi nisimulie mkasa huu kwa jamii yangu wajue namna serikali yao inavyohusika kwa sehemu kwenye kukwamisha maendeleo ya kisekta hususan kuushawishi kufa kwa reli ya kusini.

HITIMISHO
Nimetimiza wajibu
Kuna kiongozi mkubwa wa serikali aliwahi kusema" yakuambiwa changanya na yako".
Huyo aliyekusimulia yapo mambo alikuwa sahihi na mengine alikudanganya, kwa makusudi au na yeye kushindwa kuchanganya na zake kama ulivyofanya wewe.
Scheme ya zao la Karanga ilikuwa mkoani Lindi wilaya ya Nachingwea zaidi ya 250 kutoka mjini Mtwara(baharini) na siyo Mikindani iliyopo 0 km kutoka Mtwara/baharini.
Uzalishaji wa zao la Karanga ulifanyika Nachingwea na ulipelekea ujenzi wa reli ya Nachingwea hadi bandarini Mtwara kupitia Masasi kwa minajili ya kusafiri pembejeo na Karanga. Mara baada ya uzalishaji kusuasua/ kusimama reli hii haikuwa na faida tena kiuchumi hivyo ilikufa.
Eneo la Mikindani liko kando ya Bahari na Ardhi yake ni ngumu kiasili na wala siyo kwa sababu za matambiko ya mababu ya kukataa kulima zao la Karanga kama ulivyosimuliwa, kukuongezea uelewa eneo la Mikindani kulilimwa zao la Mkonge. Kuthibitisha maelezo yangu kuhusu Ardhi ya Mikindani na maeneo ya jirani yaani Naumbu na Msijute ni Ardhi ngumu ambayo mwekezaji Dangote amejenga kiwanda cha Saruji na anachimba udongo/ madini ya Jasi kutoka kwenye Ardhi hiyo kama malighafi ya kiwandani.
Natumaini nimesaidia kuliweka sawa hili, kwa kauli ile ile ya yakuambiwa changanya na zako, unayo/ mnayo nafasi pia ya kuyafanyia udhibitisho maelezo yangu.
Ahsante.
 
Kusini wana kila kitu sema tu dini ndiyo imewarudisha wananchi wa kule nyuma sana. Wengi wao kusoma tu ni issue, hawakutaka kusoma kabisa na mpaka leo hii wapo wapo tu wakijifanya Waarab koko wakati hawana lolote. Mtu ukienda kutaka kuwapelekea maendeleo wanakupinga na kutaka kukusomea albadr.
Usisikilize maneno ya kuambiwa, fanya Utafiti.
 
Unaweza kuwa sahihi. Ila hadithi iliyopo baada ya Vita kuu ya dunia serikali ya Uingereza iliamua kuanzisha mradi ili kuwasaidia watanzania waliopigana upande wa Uingereza. Ile miradi ilikufa Ila inasemekana ile reli baadae haikuwa na faida, wengine wanasema sababu ya kuwepo Kambi za wapigania Uhuru serikali iliamua kung'oa reli. Pia Kuna taarifa ambazo umepewa mojawapo inaweza kuwa sahihi.
Amedanganywa pakubwa
 
Back
Top Bottom