Kwanini reli ya Kusini ilisitishwa? Kuna jambo tunafichwa?

Dundehead Kigoma ni lango la Rwanda na kule Mwanza ni pathway ya Uganda na Sudan Kusini.

Wanaweza kuunganisha hii reli hadi nchini kwao kama TAZARA mizigo ikawa inasafirishwa kwa ufanisi
Kahama ni lango la wapi kama Kigoma ni Lango la Rwanda? Bora hata ungesema lango la Burundi.

Hivi nyie Machadema mlisoma jografia?
 

Kitu ambacho mpaka leo huwa nashangaa ni kuhusu Straregies yao Ya Groundnut scheme ya Huko kongwa Dc..
Sijui walipata wapi mshauri wa hicho kitu maana Kiliumiza wananchi na bado kinaumiza wananchi mpaka leo na serkari huwa imekaa kimya..

Baada ya panya kuzidi kula karanga sana mashambani Badala ya kuweka dawa wao walibalance ecosystem kwa kuweka mashambani Nyoka wa kutosha ...
walifanikiwa kwa kipindi hicho kwani nyoka walizaliana na Walikula panya hivyo mazao yao yalifanikiwa kuwa Salama....
ila walileta Janga la Nyoka Kongwa..Kongwa kuna nyoka wengi sana ambao Wameletwa Tangu kipindi hicho cha scheme...Ukienda ukasauliza wazee wa huko watakusimulia...
 
Kahama ni lango la wapi kama Kigoma ni Lango la Rwanda? Bora hata ungesema lango la Burundi.

Hivi nyie Machadema mlisoma jografia?
Serikali ya Chadema ndo inajenga hiyo reli?

Kahama hawahitaji reli ili mabasi ya Esther yaendelee kuwakandamiza kwenye nauli?
 
Serikali ya Chadema ndo inajenga hiyo reli?

Kahama hawahitaji reli ili mabasi ya Esther yaendelee kuwakandamiza kwenye nauli?
Usilete mada kama huna ufahamu,Mimi ndio nimekuwa wa kwanza kuhoji Kwa kulinganisha Wakoloni na sisi, wewe unaweka inputs za kindezi wakati hakuna unachojua.

Mwisho Sgr ya Kusini itajengwa Kwa Kushirikiana na private sector ndio mipango ya Serikali Kwa Sasa.
 
Hawwkuzingatia utu wa Waafrika

Walizingatia maslahi yao mapana kama ambavyo sasa CCM inazingatia maslahi yake kukikk maslahi ya nchi na wananchi
 

This will remain on papers until death do us part
 
Afya ya akili ina usumbufu sana
 
Siri imefichuka
 
Kwanini unapotosha historia kwa makusudi, ama kama ni kwa kutokujua kwanini hutaki kujifunza kwanza kabla haujaingia mitamboni?

Wajerumani kufurushwa Germany east Afrika(Tanganyika)ni baada ya vita vya pili vya dunia?!

Unapoandaa makala kama hizi unatakiwa kufukunyua historia kwanza, vinginevyo maudhui yanaweza kuwa ni mazuri lakini kutokana na dosari za kitaaluma, makala nzima ikakosa maana.
 
Wazungu walikuwa strategic wanapojenga miradi kama reli,nyie mnajenga Sgr kwenda Mwanza na Kigoma ikasafirishe nini? Kuna project gani kubwa za kuhitaji Sgr? Upuuzi na ukurupukaji.

Hata kama una chuki binafsi na JPM,ila tumia hata akili,reli ndio usafiri wa bei rahisi,pia usafirishaji wa reli unabeba mizigo mingi sana ukiachilia ule wa meli,kuna mizigo mingi sana inaenda mikoa ya kati na kanda ya ziwa kutoka bandari ya dsm.

Wenye maono huhakikisha miundombinu ya nishati na usafrishaji inakua imara na ya uhakika ili kuwezesha nchi ipate maendeleo ya haraka.

Acha chuki za kike,jpm alikua na maono kuliko wewe mpuuzi.
 
Huo ujinga ulioaminishwa na Mwendazake ni scam.

Tazara bei ni nafuu,wanayotumia huo usafiri vs Mabasi ni wangapi? Hakuna mtu atapanda treni za ubabaishaji za Bongo aache basi hayupo,harafu Sgr haitakuwa na bei rahisi wewe jidanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…