Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
PoaMarahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaMarahaba
Hivi bwana elungata kazi ya laser kwenye makombora ni nini?Saddamu alikuwa kibaraka wa marekani,,lakini tatizo ni kuwa iraq ilikuwa inakuja juu na kuwa tishio kwa israel kipindi hicho kuanzia miaka ya 90,iraq ilikuwa na uhusiano mzuri na marekani,lakini ilikuwa haijawa na amani na israel,kwani bado ikiwasaidia wapalestine,
Ilitakiwa ipatikane njia ya kuipunguza speed iraq,kwani ilikuwa ikija vizuri,kiuchumi na kijeshi hivyo kuwa tishio kwa israel,.
Saddam alikuwa na mgogoro na kuwait,,waarabu wenzie walimpiganisha na iran,vita ya miaka 8 na hawakuwa tayari kumu compensate,,saddam akataka kuvamia kuwait,,marekani wakamtega,,kisiri siri wakamoa ok,saddamu avamie kuwait mwaka 1991,first gulf war,
Alipovamia tu,saddamu kashangaa marekani wanamgeuka,
Wakamtwanga,japo hawakutaka kumpindua,,wakamwekea vikwazo ili kuua kabisa speed ya iraq kupiga hatua,,
Vikwazo vikadumu miaka 12,,lakini sardamu akaendelea kutawala,
Ndiposa 2003,likaja swala la WMD,
Hivyo tokea mwanzo,saddamu hakuwa swahiba mkubwa wa Russia.
Japan , US pia Sana mipaka na RussiaNa US umeisahau
We jamaa bhana! Yaani tukio lililotokea 1988 halafu resolution itolewe 2002?! Are you serious?Mkuu, kumbuka kwamba UN Resolution ilipitishwa baada ya ushahidi mzito kuletwa mbele ya baraza la usalama (UNSC) juu ya Saddam Hussein kushambulia wananchi (The Halabja chemical attack)...
Hakuna mwaka ambao Russia ilikuwa dhaifu kijeshi ndugu.Kwa mawazo yangu Russia ya mwaka 2003,2002, mpaka 2011 ilikuwa dhaifu kiuchumi na kijeshi kushiriki Vita ya nje ya taifa lao. Hebu fikiri miaka ya 98-2000 Russia haikuwa na ndege Vita zilizo tayari kwa Vita ya anga japo kwa asilimia 30. Wangewezaje kupambana? Alipoingia Putin ndo akafanya modernization nzito kuzifanya tu 160,tu 95 nk kua oparational. Lakini wakiwa weak kabisa kuwasaidia wengine.
Huko Iraq wangeendaje?
Naaam mzee baba ninakukubali saaana...Hakuna mwaka ambao Russia ilikuwa dhaifu kijeshi ndugu.
Mkuu, hiki kisa nilikuwa sikifahamu kabisa hapo kabla. Asante sana kwa taarifa...*Mwaka 1999 Warusi waliingia kosovo na kuchukua uwanja wa ndege wa kosovo huku majeshi ya Nato nayo yakiwa njiani kwenda kuchukua uwanja wa kosovo.
Majeshi ya Nato yalivyofika karibu na uwanja wa ndege wakakuta tayari Warusi wamechukua uwanja .General wa majeshi ya Nato akamwambia General wa Urusi kuwa vi vizuri mkaondoka na vikosi vyako uwanjani ili kuepusha mtafaruku,General wa Urusi akamwambia General wa Nato kuwa kama mnataka uwanja basi hamna budi kuanzisha vita na Urusi.General wa Nato akapiga simu Kwenye Makao makuu ya Muungano akaeleza kinachoendelea, akaambiwa arudishe majeshi nyuma.
Sawa mkuu...Kulikuwa hakuna sababu yoyote ya russia kumsaidia sadam,
Hiyo ndiyo sababu...Syria ikichukuliwa Kuna makampuni yatajenga bomba la gesi kwenda Europe na hivyo kuua biashara ya gesi ya RussiaSina hakika, lakini nishawahi kusikia kuwa Russia na Syria wana mkataba wa kiulinzi na usalama ambao ulitiwa sahini kipindi cha Baba yake Assad.
Pia kimaslahi, nilisoma sehemu kuwa territory ya Syria kama akichukua kibaraka wa West inaweza kuleta shida kwenye biashara ya mafuta na gasi ya Russia.
Laser inatumika kana guidance,,kuna makombora yanakuwa na laser guidance,,maana yake likifyatwatuliwa tusema toka katka ndege,,kuna mtu aridhini anakuwa na laser kit ambacho anamulika kuelekea target ilipo,au kuna drone karibu inamulika target,wenyewe wanaita kupaint target,Hivi bwana elungata kazi ya laser kwenye makombora ni nini?
Upo kama mimi mkuu...Wazungu huwa siwaamini
Hizi tetesi zilivuma sana tena kipindi hicho ni mwendo wa Magazeti tu na hakuna social media platforms...kipindi saddam anavamiwa tetesi zilisikika kwamba Russia ataingilia kati kumsaidia saddam, na haikuwa hivyo.