Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
OkaySawa mkuu, nimeelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkaySawa mkuu, nimeelewa
Mrusi kajitanua sana kwa sasa Afrika kaweka base kubwa sana Sudan inaweza kupokea meli kubwa zote na ndege zote kubwa kushuka na kuruka ktk base yake. Kwaiyo anarudi mdogo mdogo Capitalism ishafail kwa sasa ktk kuongoza dunia na Socialism ambayo imechanganywa na Capitalism kidogo inaelekea kushika hatamuSyria ni strategic position! Warusi wana kituo kikubwa sana cha meli za kivita kwenye bahari ya mediterania. Kuishambulia Syria ni sawa na kuishambulia Urusi!! Kwa hiyo warusi wanalinda maslahi yao makubwa Sana huko Syria!! Warusi hawakuwa na maslahi makubwa kivile huko Iraq!.
Short answer ni kwamba:-
George na CIA walifanikiwa kuudanganya ulimwengu kwamba Saddam anamiliki WMD to the point, hata UN Security Council ilivyokaa mwaka 2002 iliitaka Iraq iwe disarmed.
UN Security Council Permanent Members WOTE, including Russia walipiga kura in favor UN kuitaka Iraq iwe disarmed kupitia resolution ambayo ilisema wazi kwamba Iraq kutofuata resolution iliyotolewa ingekuwa ni jambo lisilokubalika na LAZIMA iwe disarmed!
So, ikaonekana Iraq "amegoma" kutii matakwa ya UN kumbe maskini ya Mungu hizo WMD hakuwa nazo but no one, including Russia believed Saddam!!
Na ni kutokana na hilo, ndo maana US walipoamua kuivamia Iraq kwa kigezo cha kusaka WMD, hakuna aliyekuwa tayari kumtetea!!!
Swali la msingi ni: How come taifa kama Russia nao waliamini madai ya CIA?!
Inawezekana Russia walifahamu suala la Iraq kuwa na materials zinazoweza kutengeneza WMD hasa ukizangatia hapo kabla Saddam aliwahi kutumia silaha za kemikali!
So, kutokana na hilo, Russia alikuwa na kila sababu ya kuamini inawezekana kweli Saddam alikuwa na WMD, kwahiyo akamuacha afe peke yake!!
Lakini kwa upande mwingine, Russia na Iraq hawakuwa Maswahib worth to risk kwa sababu, we all know, miaka michache tu nyuma Iraq alikuwa anapigana vita ya CIA dhidi ya Iran!
Russia alikuwa ana maslahi gani ndani ya Iraq ya Saddam Hussein?Russia asingeweza kumtetea Sadamu kwa sababu wakati huo alikuwa hoi kiuchumi baada ya Sovieti kuanguka! Hata sasa imemchukua takribani miongo miwili kurudi katika hali yake.
Kuwa hoi kiuchumi wala haikuwa sababuRussia asingeweza kumtetea Sadamu kwa sababu wakati huo alikuwa hoi kiuchumi baada ya Sovieti kuanguka! Hata sasa imemchukua takribani miongo miwili kurudi katika hali yake.
haikuwa na ubavu huo! Sasa hivi inajitutumua kwa sababu inajua jeshi la marekani lina vita nyingi sana.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi);
Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana?
Tafadhali tazama ramani ndogo ya nchi za mashariki ya kati hapo chini;
View attachment 1575807
Ndio tuseme kuna unafiki unaendelea ndani ya baraza la usalama la umoja wa mataifa (UNSC)?
Russia na China walisusia kupiga kura turufu (VETO) jambo lilipelekea wanachama wengine wa baraza la usalama la umoja huo (U.S.A, France and the United Kingdom) kuridhia kwa pamoja uvamizi dhini wa Saddam Hussein wa Iraq. Kwanini Russia hao hao hawakususia kupiga kura ya VETO dhidi ya Syria ya Assad?
View attachment 1591277
NB: Ninaomba mtu asije akaongelea ama kuuliza kwanini Russia haikumtetea Muammar Gadaffi kwa maana Iraq na Libya ni mbali sana ukilinganisha Iraq na Syria.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Historia uliyota haiko sahihi sana, kuna sehemu ni sahihi na nyingine siyo sahihi. Ingawa ni kweli Shah wa iran alipinduliwa na Ayatollah Khomein mwaka huo wa 1978, lakini wakati wa mapinduzi hayo, tayari Saddam alikuwa ni mkuu wa majeshi ya Iraki na mtu mwenye nguvu sana ndani ya siasa za Iraq. Yeye kuchukua uongozi mwaka 1979, siyo kwamba aliwekwa pale na Marekani baada ya mapinduzi hayo ya Iran bali alipindua uongozi wa Iraki kuzuia mipango ya kuungana na na Syria, ambao ungempunguzia nguvu ndani ya nchi.Nieleze ninacho kijua kuhusu maada hi.
Kwanza lazima tuelewe hasa historia fupi ya Saadamu Hussein; huyu mwamba alijaribu mara kadhaa kuipundua serikali ya Iraq bila mafanikio, mwishoni mwa miaka ya 60 na miaka kadhaa ya 70; jaribio lake la mwisho lingeweza kupelekea kifo chake, mwamba akakimbilia Misry kujificha; mwaka 1978 kama sikosei, Ayatollah Kamenei na mwenzake Hussein Komeini (sijui kama nimepatia spelling za jina lake, na of course huyu ndio Ayatollah wa kwanza Iran ) waliipindua serikali ya rais Shah wa Iran, rais/serikali hi ya Iran iliopinduliwa, walikua ni marafiki wakubwa wa USA na mataifa ya magharibi; again remember those times (hadi mwaka 1989 ) dunia ilikua imegawanyika pande kuu mbili, either upo upande wa Upepari/Ubeberu unaoimbwa sasa hivi au upande wa Ukoministi, Ubeapari uliongozwa na hawa hawa wababe wa dunia hadi sasa, USA while Ukoministi ulikua unaongozwa na USSR (sasa ni Urusi). Baada ya mapinduzi hayo ya Iran, Marekani na rafiki zake hawakupendezwa sana na utawala mpya, wakaona lazima wapinduliwe na kuondoloewa madarakani; USA wakamkumbuka Saadam aliyejificha Misri, wakampa support ya kuipndua Iraq na kumuweka madarakani but kwa sharti 1, lazima aipindue serikali ya kina Komeini iliokua na misimamo mikali ya kidini, of course pia walitaka rasilimali za Iran kuinufaisha Iran; vita ikawa vita, ilikwenda kwa miaka 8, vita iliisha mwaka 1988 baada ya miamba hi 2 kukaa chini na kupatana wao wenyewe, of course Arabs leage ilichangia sana kuwapatanisha hawa watu; kuna kitu ambacho bado hua sikijui vizuri kwa nyakati zile, Komeini na Kamenei walipindua Iran ya Shah wakitokea Ufaransa, Ufaransa na USA ni marafiki, now why Ufaransa iliwahifadhi watu wale hadi wakajijenga vile huaga sijui hasa. Turudi kwa swali lako why Rassia haikum support Saadamu Hussein, mtazamo wangu uko hivi; kufuatia hayo niliyaeleza kwa maana ya historia, Urusi ni kama iliona USA anamtoa mtu waliyemuweka madarakani wao wenyewe, Saadamu Haaminiki, better him leave the regime.
Nawasoma na wengiene kuongeza ujuzi wa kihistoria
Sawa mkuuHistoria uliyota haiko sahihi sana, kuna sehemu ni sahihi na nyingine siyo sahihi. Ingawa ni kweli Shah wa iran alipinduliwa na Ayatollah Khomein mwaka huo wa 1978, lakini wakati wa mapinduzi hayo, tayari Saddam alikuwa ni mkuu wa majeshi ya Iraki na mtu mwenye nguvu sana ndani ya siasa za Iraq. Yeye kuchukua uongozi mwaka 1979, siyo kwamba aliwekwa pale na Marekani baada ya mapinduzi hayo ya Iran bali alipindua uongozi wa Iraki kuzuia mipango ya kuungana na na Syria, ambao ungempunguzia nguvu ndani ya nchi.
Kama hajaelewa basi ...maslahi maslahi maslahi..Sina hakika, lakini nishawahi kusikia kuwa Russia na Syria wana mkataba wa kiulinzi na usalama ambao ulitiwa sahini kipindi cha Baba yake Assad.
Pia kimaslahi, nilisoma sehemu kuwa territory ya Syria kama akichukua kibaraka wa West inaweza kuleta shida kwenye biashara ya mafuta na gasi ya Russia.
Naendelea kujifunza mkuu, twende pamojaHistoria uliyota haiko sahihi sana, kuna sehemu ni sahihi na nyingine siyo sahihi. Ingawa ni kweli Shah wa iran alipinduliwa na Ayatollah Khomein mwaka huo wa 1978, lakini wakati wa mapinduzi hayo, tayari Saddam alikuwa ni mkuu wa majeshi ya Iraki na mtu mwenye nguvu sana ndani ya siasa za Iraq. Yeye kuchukua uongozi mwaka 1979, siyo kwamba aliwekwa pale na Marekani baada ya mapinduzi hayo ya Iran bali alipindua uongozi wa Iraki kuzuia mipango ya kuungana na na Syria, ambao ungempunguzia nguvu ndani ya nchi.
Hii ndio nini tena mzee baba?m
kkkk
Kik
k
kkkk
Wewe una tatizo gani mpaka unaandika hivi?m
kkkk
Kik
k
kkkk
Labda ndio codes zaoWewe una tatizo gani mpaka unaandika hivi?
Codes za nini tena? Yeye ni computer programmer?Labda ndio codes zao