Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.Huyo ndiye Samia, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.Huyo ndiye Samia, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.
Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia WatanzaniaBinafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Mabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwiRais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavuMabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha ChademaSamia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama SamiaChadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
Njoo nikupe kadi ya CCM kijanaUzi unaharibiwa na mamluki
Aliwauwa wakurdi karibu 1,000 na kuchoma karibu 95% ya vijiji vyao vyote. Maamuzi ya Uingereza kuunda mataifa bila kuzingatia uhalisia wa watu wa maeneo yao, umeitesa na unaendelea kuitesa M.E kwa miaka mingi sana.Saddam alikuwa na tuhuma nyingi ikiwemo kuna siku alipita kijiji fulani akashambuliwa hapo na waasi,ilikuwa kidogo auwawe akakimbia kwa mguu,kilichofuata alituma wajeda wa kila aina vifaru vikawa vinapita vinabomoa nyumba na inadaiwa alitumia chemicals kuwauwa raia.hovo basi huenda hii ni moja ya sababu hakutetewa.
Mkuu, ninadhani Middle East na Africa migogoro ni mingi sana kuliko sehemu zingine za dunia.Aliwauwa wakurdi karibu 1,000 na kuchoma karibu 95% ya vijiji vyao vyote. Maamuzi ya Uingereza kuunda mataifa bila kuzingatia uhalisia wa watu wa maeneo yao, umeitesa na unaendelea kuitesa M.E kwa miaka mingi sana.
Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMATunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia
Ni sahihi. Ndio maeneo yenye maslahi makubwa zaidi kiuchumi duniani.Mkuu, ninadhani Middle East na Africa migogoro ni mingi sana kuliko sehemu zingine za dunia.
Wazungu wanatufanya sisi "shamba la bibi"Ni sahihi. Ndio maeneo yenye maslahi makubwa zaidi kiuchumi duniani.
Hakika. Lakini ndio historia ya hulka ya mwanadamu. Pindi ukilemaa, utatawaliwa. Hata sisi waafrika tumetawala na kuuzana wenyewe kwa wenyewe kama bidhaa kwa miaka mingi.Wazungu wanatufanya sisi "shamba la bibi"
Mkuu, unafikiri hapo baadae kuna nchi yoyote kutoka katika bara la Afrika itakuja kuwa kiranja wa dunia kama ilivyo USA kwa sasa?Hakika. Lakini ndio historia ya hulka ya mwanadamu. Pindi ukilemaa, utatawaliwa. Hata sisi waafrika tumetawala na kuuzana wenyewe kwa wenyewe kama bidhaa kwa miaka mingi.
Inawezekana lakini Ni ngumu sana kwa hili kutokea. Nitajibu kwa ufupi.Mkuu, unafikiri hapo baadae kuna nchi yoyote kutoka katika bara la Afrika itakuja kuwa kiranja wa dunia kama ilivyo USA kwa sasa?
Umefafanua vema sana chief. Bila shaka wewe ni msomaji sana na mfuatiliaji wa historia na siasa za dunia.Inawezekana lakini Ni ngumu sana kwa hili kutokea. Nitajibu kwa ufupi.
Ukitazama historia ya nchi zote zilizokuwa superpower duniani, toka enzi za warumi, ottoman, waholanzi, wareno waingereza, wamarekani, wachina, warusi, waingereza walikuwa na mambo makuu matatu, Watu, ardhi ya kutosha na teknolojia.
Mfano, teknolojia ya usafirishaji majini ndiyo iliyowawezesha wareno kutembea dunia nzima, waingereza uwepo wa teknolojia ya usafiri majini pamoja na maendeleo makubwa ya silaha ndiyo yaliwawezesha kusafiri, kuchukua watumwa na kuwa na makoloni mengi duniani [haya yaliwapa watu- kwa maana ya wafanyakazi na masoko na Pili yaliwapa rasilimali kama malighafi] na kuweza kuitawala dunia. Chini ukijumlisha maendeleo yake makubwa huko nyuma lakini uwekezaji mkubwa wa teknolojia na watu wengi nchini mwake, kimempa nafasi ya kuwa superpower.
Sasa yote haya ukiyaweka kwenye muktadha unaona teknolojia inatawala sana. Sasa swali la kujiuliza, wenzetu waliweza vipi kuwa na teknolojia kiasi hicho, jibu ni moja tu, UTASHI WA VIONGOZI. Come to Africa, je tunao viongozi hao? Waweza kuwepo, lakini hawawezi fanya chochote sababu kuna makucha makali ya ubepari ambao hauruhusu kabisa watu hao kudumu. Hapa unaona ni ngumu kwa mataifa moja moja kufanikiwa pekee yake. Hivyo unaona kuwa suluhu ni kuwa na Umoja. Hivyo jibu langu ni kuwa kwa nchi moja moja ni ngumu sana kufanikiwa unless tuungane [mfano Afrika Mashariki kama yote], ili kuondoa foreign influence, kuunganisha masoko na rasilimali. Ukizitazama nchi ambazo zina uwezo huo, zote zina matatizo yanayawazia, Afrika Kusini [uchumi wake is purely foreign controlled], Nigeria too corrupt and divided nation & politically unstable; Kenya nao weakness zao ni kama za Nigeria.
Ni jitihada tu za kutaka kuijua dunia vyema.Umefafanua vema sana chief. Bila shaka wewe ni msomaji sana na mfuatiliaji wa historia na siasa za dunia.
Safi sana mkuuNi jitihada tu za kutaka kuijua dunia vyema.
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais SamiaRais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA