Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Akili zipiAfrica imeshakwama kitambo, na bado itaendelea kukwama kwa akili hizi.
Yanayoendelea unayajua hukoRwanda wana historia ngumu sana! Hivyo PK analazimika kuwafunga mdomo ili mambo yasiwe mengi.
Uhuru wa maoni Rwanda utakuwa ni kuongelea uhutu na utusti tu.wao waliwekeza kwenye chuki ya huo ukabila.
Mimi naona PK ameimudu Rwanda.
Ikitokea amekufa ndio utaiona Rwanda ilivyo nchi ya kipumbafu.
Sasa si hayasemwi? Kumbuka hapa tunaongelea uhuru wa habari.nayajua sana!Yanayoendelea unayajua huko
Hakuna kinachoendelea , watu wanaishi kwa amani na utulivu. Tena Wana furaha Sana.Yanayoendelea unayajua huko
aah naona sasa unaongea uhalisia π€Sasa si hayasemwi? Kumbuka hapa tunaongelea uhuru wa habari.nayajua sana!
Wanafinyanya kimya kimya,sijasema ukabila haupo ,mzee anauficha.
Ndio maana nasema akifa watu wakawa na uhuru basi kutawaka moto. Ni bora kwa sasa babu yupo.
Hatuwezi kufichaa hili,lakini PK anafanya sana jitihada kuhakikisa Rwanda inakuwa na unafuu na amani ile ya moto wa pumba za mpunga ,unaweza kuona kwa juu moto hakuna,ingiza mguu sasa ndio utajua hujui.aah naona sasa unaongea uhalisia π€
Hatar anatawala kwa mkono wa chuma ukabila upo sana tena nyanja zote kuanzia biashara had uongoziHatuwezi kufichaa hili,lakini PK anafanya sana jitihada kuhakikisa Rwanda inakuwa na unafuu na amani ile ya moto wa pumba za mpunga ,unaweza kuona kwa juu moto hakuna,ingiza mguu sasa ndio utajua hujui.
ππ... you just wanted to BRAG Joe!
π π π
... yaani sasa wakenya wawili Tayari kwisha kalia 'THRONE' ya USA! π π π π π
naanidkaje maandishi makubwa hivi... you just wanted to BRAG Joe!
π π π
... yaani sasa wakenya wawili tayari kwishakalia 'THRONE' ya USA! π π π π π
KabisaJitekenyeni tu,hakuna namna.
Kama unataka kuangalia,jukwaa la Rwanda hapa si lipo? Angalia views. Ila comment utajiuliza kwa nini.
Si kwamba hawana la kuongea,ila wanaogopa isiji ikawa ukiandika unafatiliwa na kujulikana ulipo.
Rwanda sio Mali ya kagame aliikuta naipo siku ataiachaRwanda wana historia ngumu sana! Hivyo PK analazimika kuwafunga mdomo ili mambo yasiwe mengi.
Uhuru wa maoni Rwanda utakuwa ni kuongelea uhutu na utusti tu.wao waliwekeza kwenye chuki ya huo ukabila.
Mimi naona PK ameimudu Rwanda.
Ikitokea amekufa ndio utaiona Rwanda ilivyo nchi ya kipumbafu.
Sio muda ... Wahutu hawajalala....Rwanda sio Mali ya kagame aliikuta naipo siku ataiacha