Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

Lidikteta la rwanda linawabinya midomo wananchi wake kama mateka.

Ukikohoa kidogo tu unatumiwa kikosi cha kukubutua virungu.

Lile lidikteta uchwara la Rwanda lina jeuri sana licha ya kuongoza kamkoa kadogo kama Tarafa.
 
Back
Top Bottom