BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 6,373 Reaction score 16,073 May 25, 2024 #21 Lidikteta la rwanda linawabinya midomo wananchi wake kama mateka. Ukikohoa kidogo tu unatumiwa kikosi cha kukubutua virungu. Lile lidikteta uchwara la Rwanda lina jeuri sana licha ya kuongoza kamkoa kadogo kama Tarafa.
Lidikteta la rwanda linawabinya midomo wananchi wake kama mateka. Ukikohoa kidogo tu unatumiwa kikosi cha kukubutua virungu. Lile lidikteta uchwara la Rwanda lina jeuri sana licha ya kuongoza kamkoa kadogo kama Tarafa.
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 May 25, 2024 #22 fidel castro wapili said: Rwanda sio Mali ya kagame aliikuta naipo siku ataiacha Click to expand... Ni kawaida kwa binadamu yoyote,wakati ni ukuta
fidel castro wapili said: Rwanda sio Mali ya kagame aliikuta naipo siku ataiacha Click to expand... Ni kawaida kwa binadamu yoyote,wakati ni ukuta