Umenisaidia kuulizaMbon umulizii Jonas au tiyari ana mchango na team
HahahaaaaAna sindano za masaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwani wavaa vitambaa vya kaniki wanasemaje?
KimyaaaaaKwani wavaa vitambaa vya kaniki wanasemaje?
AhaaaaInjury vs singida aliipata
JamanAna sifa lazma apate Injury
Sawa (kama ni kweli)He's sick..any other swali?
Ni vema upite Instagram page ya Simba uwafafanulie mashabiki coz wameuliza suala.la Saidoo kutosafiri lkn hakuna majibuHe's sick..any other swali?
Achana nao hao, au wewe waambie kama nilivyokueleza,hawataki basi!Ni vema upite Instagram page ya Simba uwafafanulie mashabiki coz wameuliza suala.la Saidoo kutosafiri lkn hakuna majibu