Mwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze.
It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo wowote huko Geita gold alikotoka. Sasa kama hana majeraha yoyote kwann aachwe Dar wakati mchango wake kwa timu (in recent games) ni mkubwa?