Kwanini Samia amekaa kimya Zanzibar inapotishia kuvunja katiba na kufanya ubaguzi wa wazi?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1781981125610.png

Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano.
Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya!

Je, ameridhika na haya hadi kuyaunga mkono na kuyanyamazia?

Je, ni sehemu ya mkakati huu usio wa kikatiba wala kisheria?

Je, Mwinyi amepata wapi haya mamlaka au wawili wamekubaliana kama siyo mmoja kupoka na kupora mamlaka ya mwenzake?

Je, mhusika mkuu hana uwezo kiakili kulishughulikia balaa hili la kujitakia?
Je, kuna namna anavyofaidika nalo?

Je, ni tukio la bahati mbaya au la makusudi lenye malengo makubwa kulko tunayoona?
Je, wahusika wameuchoka muungano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau kuwa wao ndiyo wanufaika wakuu?
Je, nini kifanyike kuwawajibisha wawili hawa?
 
Ngoja yule jamaa mwenye picha ya demu kwenye profile yake atakavyokuja kukubwekea😁 si unajua tena 7000/post
 
View attachment 3612033

Gentleman,
mku wa nchi hana muda wala kamwe hawezi kubabaika na porojo ndogo ndogo kama hizo gentleman,
watedaji mitaani wanaweza kudeal na tuvitu tudogotugo kama huto.

Rais anayo dhanama kubwa zaidi ya kuwatumikia wananchi na wajibu wa kipekee sana wa kuwaletea maendeleo wananchi wote kisiasa, kijamii na kiuchumi 🐒
 
Tukiwa wakweli huyu ni rais ndio aliyefeli kati ya wote waliowahi kuwepo hii nchi
 
Gentleman,
mku wa nchi hana muda wala kamwe hawezi kubabaika na porojo ndogo ndogo kama hizo gentleman,
watedaji mitaani wanaweza kudeal na tuvitu tudogotugo kama huto.

Rais anayo dhanama kubwa zaidi ya kuwatumikia wananchi na wajibu wa kipekee sana wa kuwaletea maendeleo wananchi wote kisiasa, kijamii na kiuchumi 🐒
Ni kweli. Kwa chawa, hana muda. Ila kama kweli ni kiongozi anayejua anachofanya, anawajibika si kwa watu tu hata wadudu na wanyama wa nchi hii. Sijui kama unajua maana ya porojo kwa mtu mwenye welewa mdogo hadi anaitwa chawa. kukubali, kuridhika, na kushangilia.
 
katiba imevunjwa wapi?
Imevunjwa kwenye kipengee kinachosema Tanzania haina dini ila wananchi wake wana uhuru wa kuabudu dini wazitakazo bila kuathiri masharti ya katika Ibara ya 19. Umeelewa?
 
Ngoja yule jamaa mwenye picha ya demu kwenye profile yake atakavyokuja kukubwekea😁 si unajua tena 7000/post
Unaongelea yule mseenge? Inakuwaje murume mzima utumie picha ya dada au mama yako kama hakuna kitu?
 
View attachment 3612033
Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano.
Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya!

Je, ameridhika na haya hadi kuyaunga mkono na kuyanyamazia?

Je, ni sehemu ya mkakati huu usio wa kikatiba wala kisheria?

Je, Mwinyi amepata wapi haya mamlaka au wawili wamekubaliana kama siyo mmoja kupoka na kupora mamlaka ya mwenzake?

Je, mhusika mkuu hana uwezo kiakili kulishughulikia balaa hili la kujitakia?
Je, kuna namna anavyofaidika nalo?

Je, ni tukio la bahati mbaya au la makusudi lenye malengo makubwa kulko tunayoona?
Je, wahusika wameuchoka muungano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau kuwa wao ndiyo wanufaika wakuu?
Je, nini kifanyike kuwawajibisha wawili hawa?
Mmeyataka wenyewe, imekuwaje mmekubali kuitupa Tanganyika kwenye shimo la giza? Just imagine anayetawala Zanzibar ni yuko pale kwa ajili ya maslahi ya Zanzibar tu na si vinginevyo na anayewatawala nyinyi Watanganyika ni Mzanzibari sasa hapo hivi kweli vichwa vyenu viko sawa kukubali upumbavu wa aina hiyo?
Mnavuna mlichopanda.
 
Ni kweli. Kwa chawa, hana muda. Ila kama kweli ni kiongozi anayejua anachofanya, anawajibika si kwa watu tu hata wadudu na wanyama wa nchi hii. Sijui kama unajua maana ya porojo kwa mtu mwenye welewa mdogo hadi anaitwa chawa. kukubali, kuridhika, na kushangilia.
Gentleman,
hivyo vichangamoto vyenu vya kutafuta kiki na public sympathy ni vizuri mkadili navyo wenyewe na viongozi wa umma wa huko huko mitaani mwenu.

Ni vizuri sana na kwa heshima, ni muhimu sana kumpatia nafasi Rais kuwatumikia wananchi wote na kuwaletea maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi 🐒
 
Back
Top Bottom