Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Samia huyu huyu kilaza?
Ni kweli. Na hili linarudi kwako. Usijisahau. Usijifungie chumbani ukawasha moto halafu ukadai umechomewa moto chumba chako.Kama siyo mfuatiliaji wa mambo huna haja ya kuonyesha ujinga wako bali jipe muda ujisomee na kujielimisha mwanangu.
Kuna mtu mwenye akili timamu bado anamsikiliza Mwegulu na kuamini uchawa na uongo wake utokanao na kujikomba ili aweze kujaza fuko lake la mbele!Ni kweli. Na hili linarudi kwako. Usijisahau. Usijifungie chumbani ukawasha moto halafu ukadai umechomewa moto chumba chako.
Hili linaloonesha wewe ulivyo.
1. Sikiliza Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba kwenye hili.
2. Sikiliza clip iliyotolewa wakidai Wabara wameanza kufukuzwa, kumbe ni katika kuimarisha ulinzi na usalama kazini baada ya wao kuiba.
3. Sikiliza clip inayowaonesha Waziri na hao wafanyakazi wahusika kuhusu sakata hilo.
Haya yote yanarudi kwenye: I. Madai yenu ya uongo kwamba Wabara hawaajiriwi Zanzibar. ii. Wabara hawatakiwi Zanzibar. Nawe kwa ama ujinga wako au kwa chuki za makusudi dhidi ya Zanzibar ukaja na bandiko lako hili, ukidhani watu hatujui yanayoendelea. Sasa haya ndiyo kuonesha ujinga na kutokufuatilia mambo. Unapaswa kubadilika, vinginevyo, watu watakucheka na kukudharau. Mkuu nikuambie tu kwamba wajinga ndio waliwao.
Mila na tamaduni zao au za waarabu?Hiyo ya mwaka wa kiislam sio tatizo.
Ni tamaduni na mila za DINI yao.
Ila kuwafukuza wabara , itakuwa wamewaza kijinga zaidi. Na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya zaidi kwa wazanzibar waliopo Tanganyika. Tatizo tu lililopo Tanganyika ni kuwa haina mhamasishaji wa uzalendo wa kweli zaidi ya wanafiki wanaoimba mapambio ya mama, mama mama huku wanaumia moyoni.
Hapo nimeweka mambo matatu. Ukiacha ya Mwigulu, kuna mingine mawili. Umesahau kwamba nimeweka ushahidi wa madai yenu ya uongo kwamba Wabara hawaajiriwi Zanzibar na kwamba hao Wabara hawatakiwi Zanzibar. Hoja ambazo nawe umekuja nazo kwenye bandiko lako ukiuliza kwanini Samia yuko kimya. Jawabu lake ni kwamba ukimya ni jawabu tosha kwa mpumbavu/mjinga.Kuna mtu mwenye akili timamu bado anamsikiliza Mwegulu na kuamini uchawa na uongo wake utokanao na kujikomba ili aweze kujaza fuko lake la mbele!
Hata Marekani kila State ina sheria zake sio lazima Carlifonia iwe na sheria kama za Washington nk.View attachment 3612033
Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano.
Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya!
Je, ameridhika na haya hadi kuyaunga mkono na kuyanyamazia?
Je, ni sehemu ya mkakati huu usio wa kikatiba wala kisheria?
Je, Mwinyi amepata wapi haya mamlaka au wawili wamekubaliana kama siyo mmoja kupoka na kupora mamlaka ya mwenzake?
Je, mhusika mkuu hana uwezo kiakili kulishughulikia balaa hili la kujitakia?
Je, kuna namna anavyofaidika nalo?
Je, ni tukio la bahati mbaya au la makusudi lenye malengo makubwa kulko tunayoona?
Je, wahusika wameuchoka muungano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau kuwa wao ndiyo wanufaika wakuu?
Je, nini kifanyike kuwawajibisha wawili hawa?
Mila huwa ni za makabila na pia mila huwa ni za Dini !Mila na tamaduni zao au za waarabu?
Ama wewe ni Mzanzibar mbaguzi mwenye chuki na Watanganyika au unajitoa ufahamu.Hapo nimeweka mambo matatu. Ukiacha ya Mwigulu, kuna mingine mawili. Umesahau kwamba nimeweka ushahidi wa madai yenu ya uongo kwamba Wabara hawaajiriwi Zanzibar na kwamba hao Wabara hawatakiwi Zanzibar. Hoja ambazo nawe umekuja nazo kwenye bandiko lako ukiuliza kwanini Samia yuko kimya. Jawabu lake ni kwamba ukimya ni jawabu tosha kwa mpumbavu/mjinga.
Hayo niliyoyaandika umeyafahamu? Naomba nioneshe hivyo vigezo vya ubaguzi katika niliyoyaandika. Kuna sehemu nimeeleza kauli za kibaguzi? Pole sana.Ama wewe ni Mzanzibar mbaguzi mwenye chuki na Watanganyika au unajitoa ufahamu.
Zile kauli za Mawaziri wa Zanzibar hukuzisikia, tupendane ndugu.