Kwanza Al Saud waliwekwa kwenye ufalme na mzungu, si kwamba Al Saud wamewakubali wazungu Leo, hapana bali ni Kwa miaka mingi sana toka wasaidiwe na hao hao (wazungu) kuwekwa kwenye kiti. Na MBS anakwenda kuifanya na kuipa uelekeo mpya nchi ya Saudi Arabia Kwa hatua au kiasi ambacho hakuna mwanasaudia yoyote angeweza kufikiria. Waajemi wanachukuliwa Kwa jicho la tofauti middle east yote, Iran na Israel ni mataifa yanayofanya Kila liwezekanalo Ili waendelee kuishi middle east, Hawa wawili hawana nchi rafiki za kudumu huko, uzuri ni kwamba waarabu wengi huko middle east hawana akili lakini siyo kama zetu za kwenda chooni wao wametuzidi, hivyo Bado Saudi Arabia anataka kujitahidi kufunika wote lakini Nina uhakika hawana smart peoples kama wenzao Iran na Israel.