Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

Kwa kuwa nimekumbushia kitabu chako cha hekaya za warumi wa kale!?.. Mungu alipigwa ngwala na yakobo?
Unajua mudi alimsilimisha shetani?
FB_IMG_1741324690522.jpg
 
Islam created by Roman Catholic church

Kafanye tafiti usisubiri uambiwe na MASHEIKH ,usiwe mjinga
Kwa hio unataka kusema uislam umeanzishwa na Paulo maana huyo ndio mwenye dini ya ukristo
 
Unaokota okota vitu,nilikuuliza ikiwa unaamini Mungu alipigwa ngwala na kabali na yakobo kama biblia inavyosema

UTHIBITISHO KWAMBA SHETANI NI MUISILAMU!!.
Nanukuu
''Nibahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu. Ni Mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha Shetani akawa Muislam. Pia tunaweza kuelewa kwamba baadhi ya watoto wa majini waislamu tangu wakati wa uhai wa Mtume kwa kusikiliza kisomo cha Qur'an Tukufu.''
Mwisho wa Kunukuu.....

NIMENUKUU KUTOKA KITABU CHA ''ASILI YA MAJINI, vitimbi vyao na Namna ya Kujilinda Dhidi Yao''.
Mwandishi': Dr. Ahmad H. Sakr
Mfasiri: Abu Ja'far Chifu.
UKURASA WA 20, Paragraph ya Mwisho!!.

Kumbe Marehemu Muhammadi alimsilimisha Shetani, na Akawa Muislamu!!

Njoo kwa Yesu Upate Uzima wa Bure!!.
Amen
 
Kwa hio unataka kusema uislam umeanzishwa na Paulo maana huyo ndio mwenye dini ya ukristo
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)
 
Back
Top Bottom