hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
ChristianKwahiyo wewe ni nani kati Ya hao wawili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChristianKwahiyo wewe ni nani kati Ya hao wawili?
Kwahiyo wewe unahusikaje na USA?Christian
Ndio Aya inachosema hapoKwahiyo wewe unahusikaje na USA?
Imenibidi niende kwa aristotle kuangalia madai yako,we jamaa muongo sana, Quran inasema chuma kilishushwa, palikua na big bang, universe (ulimwengu) unatanuka,ubongo wa mbele hutumika kudanganya, sensor za maumivu zipo' kwenye ngozi na vyote hivi sayansi ya leo imethibitishaQuran kitabu cha juzi tu
Sayansi ipo kabla
Aristotle (384–322 KK) katika kazi yake Meteorology alieleza jinsi hewa inavyobadilika kwa kupanda juu, na kuhusu kubanwa kwa kifua.
Pliny the Elder (23–79 BK) katika kitabu chake Natural History alizungumzia jinsi hali ya hewa inavyobadilika unapopanda milima mirefu.
Uongo upi wa Aristotle?Imenibidi niende kwa aristotle kuangalia madai yako,we jamaa muongo sana, Quran inasema chuma kilishushwa, palikua na big bang, universe (ulimwengu) unatanuka,ubongo wa mbele hutumika kudanganya, sensor za maumivu zipo' kwenye ngozi na vyote hivi sayansi ya leo imethibitisha
Wewe unahusikaje na USA? acha kukimbia maswali ya msingi.Ndio Aya inachosema hapo
Swali lako halina msingi wowote ,Wewe unahusikaje na USA? acha kukimbia maswali ya msingi.
😂😂😂😂😂 Wazungu washaishika makka nyie mmekaa kupayuka tuuMgeni rasmi Trump katika nchi ya mtume Muhamad s.a.w.
1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496
Katika mashariki ya kati kibaraka mkuu wa USA ni Saudia Arabia, ni kibaraka mtiifu sana na mnafiki mkubwa katika mataifa ya Kiarabu. Huyo ndo alichochea sana USA kumvamia Sadam Hussein, na ndiye anashiriki propoganda za kumtoa Bashar al Sadri wa Syria, na ndiye ameivamia Yemen ila alikutana na kichapo cha wa Houth wanaofadhiriwa na Iran ikabidi aombe msaada kwa bwana wake yaani USA ndo akafanikiwa kuwarudisha nyuma. Ila kwa uchungu kasambaza kemikali uko Yemen ambazo zimesababisha magonjwa mabaya sana kwa Wayemen.
Na sasa(Saudia) ame sign mkataba wa dollar bilioni 100 na USA kwajili ya silaha za kijeshi, ni pesa nyingi sana ni kama Trilioni 250 za Tz, yaani ni budget ya miaka 8 na nusu ya Tanzania na ni budget ya miaka 125 ya Rwanda. Na ktk maongezi Saudia ameingiza chokochoko kuhusu Iran, maana anataka sana Iran ivamiwe na USA ili yeye abakie mwenye nguvu katika Waarabu.
Story kwa ufupi kuhusu Saudia Arabia
Nchi hiyo zama hizo iliitwa Araba yaani jangwa kwa Kiebrania, na neno Araba ndio chimbuko la jina Arabu au waarabu, na jina ilo yaani Araba likabeba jina la Arabuni, ila wakazi wa uko katika zama za mbele waliita Hijjaz yaani kizuizi maana ilikuwa nchi ya upweke sana kwasababu ya jangwa lake kali na jua kali sana. Uko waliishi sana Bedui ambao ndio waliomfundisha Muhamad vita na mashairi. Arabuni ilikuwa ni eneo lisilokuwa na watu wengi, ata leo Saudia ina wakazi milioni 31 kwa sensa ya 2015, ndo maana dolla za Kislam baada ya Ukalifa wa Rashidun(Abubakar, Umar, Uthuman, na Ally) warithi wao yaani Ummayid kaliphate walihamisha makao makuu madina kwenda Syria(Sham) na baada yao makao makuu yakahamia Iraq ktk zama za ukalifa wa Abbasid. Maana Sham na Iraq ndo kulikuwa na wakazi wengi sana.
Kwanini leo Arabuni(Hijjaz) inaitwa Saudi Arabia?
Kuna story ndefu hapo ila kifupi Arabuni ilishatawaliwa sana na dolla mbalimbali kiasi cha jiwe jeusi kuibiwa, baada ya dola nyingi kuitawala Arabuni mwisho iliangukia katika dola ya Ottoman ambayo iliitawala Arabuni mda mrefu na ku control msikiti wa Makka, baada ya dola ya Ottoman kuangushwa na British Empire mwaka 1914-1918 ktk vita ya kwanza, Uingereza ilitawala maeneo yote ya Ottoman, ndipo mwaka 1924-1925 Ibn Saudi akajitangaza mfalme wa Arabuni kwa msaada wa Muingereza, ila hakutawala eneo lote, mwaka 1932 ndipo akawa mfalme wa Arabuni yote baada ya dola ya Nejd kuungana naye, ndipo Arabuni ikaitwa Saudi Arabia. Kwaiyo Waislam wanavyodai kuwa Israel si Taifa bali jina la mtu, basi ata Saudia ni jina la mtu. Ukoo wa Ibn Saudi ni wa kitambo, huu ukoo uliungana na ukoo wa Abdul Wahab katika Karne ya 18 na kuunda ka dola kadogo kalikoitwa Saud Kingdom ila baadae kalisambaratishwa na Ottoman. Abdul Wahhab ndio mwanzilishi wa dhehebu la Wahhabist, dhehebu lenye msimamo mkali sana wa kissun, na baguzi kwa madhebu yote ya Kislam wakiwemo sunn wasio wahhabist, inasemekana magaid karibu wote wanatokea dhehebu ili. Abdul wahab inasadikiwa kuwa ana asili ya Kiyahud. Maana Wayahud ndio walikuwa wana control uchumi wa Arabuni hata zama za Muhamad, na Muhamad alivyowashinda aliwafukuza na kupora mali zao. Mji wa Medina na Khaybar ilikuwa ni miji ya Kiyahud ambayo ilikuwa na utajiri mkubwa, kwaiyo inasemekana masalio yao yapo mpk leo ambao waliamini katika Uislam na miongoni mwao ni Abdul Wahab, na ukoo huu na ukoo wa Ibn Saud ndo koo ambazo zimeshika uchumi wa Saudia na utawala.
Muhamad aliwafukuza Wayahudi na Wakristo katika Rasi ya Arabuni na kukataza kufanya nao Urafiki kama hadithi hii inavyoshuhudia:-
1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496
Na Quran Al-Maaida 51 inabainisha hivi:-
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
Ukirejea aya hiyo na hadithi hiyo utapata majibu kuwa Waislam wamepigwa marufuku kufanya urafiki nasi na wako tayari kuwafukuza Wakristo na Wayahud ktk eneo lolote wanalolimiliki, ndio maana ktk nchi za Waislam hakuna makanisa hasa Saudia na ata wakiwa ktk nchi za Wakristo watakomaa tu kuingiza sharia zao. Swali la kujihoji, leo ktk nchi ya Muhamad, yaani Arabuni wamevunja aya hiyo kwa kufanya urafiki na Wakristo na Wayahudi kiasi cha kuwapa eneo la kijeshi katika rasi ya Saudia na kufanya ushirika kwa mengi sana. Je Uislam umeshajifia au unaenda kujifia kabisa?
Uchambuzi wa dhehebu la Wahabist uko jikoni.
Makka ishachukuliwa na wazungu ,😂😂😂😂😂 Wazungu washaishika makka nyie mmekaa kupayuka tuu
Sababu hata Mohamed walimtengeneza wao kama vile Osama bin laden na USA walimtengeneza wao kisha wakageukanaUislamu ni project ya Wakatoliki
KWAHIYO Saudia Arabia lazima awe KIBARAKA WA wazungu ,
Sababu Uislamu ni project Yao ,wanacheza na remote control tu
Hivo hivo, wafia dini hawaamini project kama hizi ni vitu vya kawaida sanaSababu hata Mohamed walimtengeneza wao kama vile Osama bin laden na USA walimtengeneza wao kisha wakageukana
Wewe unahusikaje na USA? Jibu hili swali mbona tumetoka mbali nakuuliza maswali unajibu mpaka nimefahamu kuwa wewe ni christian baada Ya kukuuliza sasa swali hili unakwepa nini? Mbona huko mwanzo ulikuwa unajibu maswali yangu 'na hayahusiani na aya.Swali lako halina msingi wowote ,
Aya inasema kuhusu waislamu msiwe marafiki na wayahudi na wakristo
Wewe unaleta habari za USA ,ndio Aya inachotaka au ni hoja?
Ni majinga kweli kweli....Saudia Arabia ambao ndio waislamu wenyewe ni vibaraka wa USA na wanawasaidia Israel kupiga Palestine
Wewe mwarabu wa buza kwa lulenge umekaza shingo
Uwongo wako siyo aristotle,kile kitabu cha kale kinachodai Mungu alipigwa ngwala na yakobo ndiyo kina jipya!?.. kafiri una shida sanaUongo upi wa Aristotle?
Quran ni kitabu cha juzi, hakina jipya ,
Umeishiwa hojaUwongo wako siyo aristotle,kile kitabu cha kale kinachodai Mungu alipigwa ngwala na yakobo ndiyo kina jipya!?.. kafiri una shida sana
Kwa kuwa nimekumbushia kitabu chako cha hekaya za warumi wa kale!?.. Mungu alipigwa ngwala na yakobo?Umeishiwa hoja