Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

Kabla ya 600AD ,hakuna hata ushahidi wa gazeti au kipande cha jiwe kuwa paliwahi kuwepo dini inaitwa uislamu au Jengo kinaitwa MSIKITI

Hapo ndio utajua uislamu ni project ya wakatoliki

Toka nje ya box ,usisubiri uambiwe na sheikh ,
Ndiyo maana akaja nabii kuweka mambo sawa baada ya kuvurugwa na wahuni kama Paulo
 
Na Quran Al-Maaida 51 inabainisha hivi:-


“Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu”

Kwa nukuu hiyo hapo juu nawasikitikia jamaa zangu waislam ambao ni marafiki zangu leo nimegundua kumbe wanacheza makida makida tu Mungu wao ameshawakataa kitambo.

View: https://www.reddit.com/r/coolguides/comments/d19w5t/all_these_arabic_words_mean_friend_but_each_one/?rdt=49834

Kiarabu lugha pana,neno rafiki lina madaraja tofauti ambayo kwa kiswahili tafsiri yake ni rafiki tu,hiyo aya ukipitia tafsiri tofauti za Quran utakuta wametumia maneno tofauti
 
Tunaanzisha urafiki na watu kumbe maskini ya Mungu tunawanyima pepo kesho,na wengi tupo nao urafiki kinafiki au hiyo dini yao hawajaisoma wakaielewa.

Yupo mjinga mjinga mmoja hawa wavaa kanzu fupi nilimwamini nikampa kazi ya kusimamia vyombo vyangu akanichanganyia hesabu akafanya forgery kwenye signature akanipeleka mahakamani eti namdhulumu,kuna siku aliniambia live akila hela ya asiye muislam alahh hamuhesabii dhambi.Mungu saidia nilishinda but hiyo kauli yake mpaka kesho huwa naitafakari najiuliza huyo Mungu wa hivyo wao wamemtoa wapi?
 
Saudia ni kibaraka wa Marekani coz Hana uwezo wa kujilinda na utawala wake wa kifalme hata Kwa nusu mwaka. Kuna upinzani mkubwa chini Kwa chini kutoka makundi mbalimbali ya kidini, kijeshi, na kidemokrasia yote yakiwa na malengo tofauti namna ya kuiendesha nchi hiyo. Madhali upinzani wowote dhidi ya serikali ya KSA ni shimo la tewa. Iwe Kwa kelele, maandishi nk adhabu yake ni kifo. Huko Saudia Kuna udictator mkubwa pengine kuliko ule usemwao Kule Iran na Russia.
Aibu nchi ya kidini kama Saudia Leo inahost makambi ya kijeshi ya Marekani, lakini ni ajabu vijana ambao husoma na kufadhiliwa na Saudia huja Afrika na kuilaani Marekani.
Aibu kwenu wasaudia
 
Wakatoliki hawawezi create uislam halafu wahahe kupambana nao baadae,acheni ujinga


Hayo ya wakatoliki kuanzisha uislam, siamini. Ila hilo la wakatoliki kupambana na uislam, huo ni uwongo mkubwa. Wakatoliki hawana uadui na wala hawapambani na dini yoyote, ndiyo maana hata kipindi hiki cha kwaresma, kwa upendo mkubwa, wakatoliki wanamwomba Mungu wa kweli awafunulie waislam ili wamrambue na kumpokea Mungu wa kweli na masiha Kristo, ambaye pasipo yeye, hakuna wokovu, maana ni yeye pekee ndiye ufufo na uzima, na hakuna amfikiaye Baba bila kupitia kwake.

Wakatoliki l, kwa kadiri ya mafundisho ya Yesu Kristo, hawawezi kumchukia yeyote, maana agizo kuu la Yesu ni UPENDO. Tena anahimiza kwa kuwaambia wanadamu wawapende hata maadui zao ili watofautiane na wale wasiomjua Mungu ambao huwachukia maadui zao.
 
Mgeni rasmi Trump katika nchi ya mtume Muhamad s.a.w.

1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496

Katika mashariki ya kati kibaraka mkuu wa USA ni Saudia Arabia, ni kibaraka mtiifu sana na mnafiki mkubwa katika mataifa ya Kiarabu. Huyo ndo alichochea sana USA kumvamia Sadam Hussein, na ndiye anashiriki propoganda za kumtoa Bashar al Sadri wa Syria, na ndiye ameivamia Yemen ila alikutana na kichapo cha wa Houth wanaofadhiriwa na Iran ikabidi aombe msaada kwa bwana wake yaani USA ndo akafanikiwa kuwarudisha nyuma. Ila kwa uchungu kasambaza kemikali uko Yemen ambazo zimesababisha magonjwa mabaya sana kwa Wayemen.

Na sasa(Saudia) ame sign mkataba wa dollar bilioni 100 na USA kwajili ya silaha za kijeshi, ni pesa nyingi sana ni kama Trilioni 250 za Tz, yaani ni budget ya miaka 8 na nusu ya Tanzania na ni budget ya miaka 125 ya Rwanda. Na ktk maongezi Saudia ameingiza chokochoko kuhusu Iran, maana anataka sana Iran ivamiwe na USA ili yeye abakie mwenye nguvu katika Waarabu.

Story kwa ufupi kuhusu Saudia Arabia

Nchi hiyo zama hizo iliitwa Araba yaani jangwa kwa Kiebrania, na neno Araba ndio chimbuko la jina Arabu au waarabu, na jina ilo yaani Araba likabeba jina la Arabuni, ila wakazi wa uko katika zama za mbele waliita Hijjaz yaani kizuizi maana ilikuwa nchi ya upweke sana kwasababu ya jangwa lake kali na jua kali sana. Uko waliishi sana Bedui ambao ndio waliomfundisha Muhamad vita na mashairi. Arabuni ilikuwa ni eneo lisilokuwa na watu wengi, ata leo Saudia ina wakazi milioni 31 kwa sensa ya 2015, ndo maana dolla za Kislam baada ya Ukalifa wa Rashidun(Abubakar, Umar, Uthuman, na Ally) warithi wao yaani Ummayid kaliphate walihamisha makao makuu madina kwenda Syria(Sham) na baada yao makao makuu yakahamia Iraq ktk zama za ukalifa wa Abbasid. Maana Sham na Iraq ndo kulikuwa na wakazi wengi sana.

Kwanini leo Arabuni(Hijjaz) inaitwa Saudi Arabia?

Kuna story ndefu hapo ila kifupi Arabuni ilishatawaliwa sana na dolla mbalimbali kiasi cha jiwe jeusi kuibiwa, baada ya dola nyingi kuitawala Arabuni mwisho iliangukia katika dola ya Ottoman ambayo iliitawala Arabuni mda mrefu na ku control msikiti wa Makka, baada ya dola ya Ottoman kuangushwa na British Empire mwaka 1914-1918 ktk vita ya kwanza, Uingereza ilitawala maeneo yote ya Ottoman, ndipo mwaka 1924-1925 Ibn Saudi akajitangaza mfalme wa Arabuni kwa msaada wa Muingereza, ila hakutawala eneo lote, mwaka 1932 ndipo akawa mfalme wa Arabuni yote baada ya dola ya Nejd kuungana naye, ndipo Arabuni ikaitwa Saudi Arabia. Kwaiyo Waislam wanavyodai kuwa Israel si Taifa bali jina la mtu, basi ata Saudia ni jina la mtu. Ukoo wa Ibn Saudi ni wa kitambo, huu ukoo uliungana na ukoo wa Abdul Wahab katika Karne ya 18 na kuunda ka dola kadogo kalikoitwa Saud Kingdom ila baadae kalisambaratishwa na Ottoman. Abdul Wahhab ndio mwanzilishi wa dhehebu la Wahhabist, dhehebu lenye msimamo mkali sana wa kissun, na baguzi kwa madhebu yote ya Kislam wakiwemo sunn wasio wahhabist, inasemekana magaid karibu wote wanatokea dhehebu ili. Abdul wahab inasadikiwa kuwa ana asili ya Kiyahud. Maana Wayahud ndio walikuwa wana control uchumi wa Arabuni hata zama za Muhamad, na Muhamad alivyowashinda aliwafukuza na kupora mali zao. Mji wa Medina na Khaybar ilikuwa ni miji ya Kiyahud ambayo ilikuwa na utajiri mkubwa, kwaiyo inasemekana masalio yao yapo mpk leo ambao waliamini katika Uislam na miongoni mwao ni Abdul Wahab, na ukoo huu na ukoo wa Ibn Saud ndo koo ambazo zimeshika uchumi wa Saudia na utawala.

Muhamad aliwafukuza Wayahudi na Wakristo katika Rasi ya Arabuni na kukataza kufanya nao Urafiki kama hadithi hii inavyoshuhudia:-

1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496

Na Quran Al-Maaida 51 inabainisha hivi:-

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Ukirejea aya hiyo na hadithi hiyo utapata majibu kuwa Waislam wamepigwa marufuku kufanya urafiki nasi na wako tayari kuwafukuza Wakristo na Wayahud ktk eneo lolote wanalolimiliki, ndio maana ktk nchi za Waislam hakuna makanisa hasa Saudia na ata wakiwa ktk nchi za Wakristo watakomaa tu kuingiza sharia zao. Swali la kujihoji, leo ktk nchi ya Muhamad, yaani Arabuni wamevunja aya hiyo kwa kufanya urafiki na Wakristo na Wayahudi kiasi cha kuwapa eneo la kijeshi katika rasi ya Saudia na kufanya ushirika kwa mengi sana. Je Uislam umeshajifia au unaenda kujifia kabisa?

Uchambuzi wa dhehebu la Wahabist uko jikoni.
History zenu makafir za kujitunga haziwezi kuwasaidia chchte, uislam Ni unyenyekevu kwa MWENYEZI MUNGU, na muongozo wetu Ni Qur'an, AChana na mapungufu na kutazama saudia inafanya nini, Tazama Qur'an inasema nn... Wao kuifuata au kuiacha si juu ya uislam Ni juu ya nafsi zao Wenyewe
 
Alijua ukiwa unapanda angani,kifua hubana kwa kukosa hewa, Quran 6:125,bibi yako anajua hili?..alifundishwa?
Quran kitabu cha juzi tu

Sayansi ipo kabla

Aristotle (384–322 KK) katika kazi yake Meteorology alieleza jinsi hewa inavyobadilika kwa kupanda juu, na kuhusu kubanwa kwa kifua.

Pliny the Elder (23–79 BK) katika kitabu chake Natural History alizungumzia jinsi hali ya hewa inavyobadilika unapopanda milima mirefu.
 
History zenu makafir za kujitunga haziwezi kuwasaidia chchte, uislam Ni unyenyekevu kwa MWENYEZI MUNGU, na muongozo wetu Ni Qur'an, AChana na mapungufu na kutazama saudia inafanya nini, Tazama Qur'an inasema nn... Wao kuifuata au kuiacha si juu ya uislam Ni juu ya nafsi zao Wenyewe
Hao ndio wenye hiyo dini ,wamekuletea wewe
 
Kumbe we jamaa ni Myahudi? Nilikuwa sijui
Quran yenu inawataka msiwe na urafiki na wayahudi na wakristo

Quran Al-Maaida 51 inabainisha hivi:-

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Quran yenu inawataka msiwe na urafiki na wayahudi na wakristo

Quran Al-Maaida 51 inabainisha hivi:-

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
Kwahiyo wewe ni nani kati Ya hao wawili?
 
Back
Top Bottom