Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??
Kasema haizalishi mabilionea ungeambatanisha na billionea alietokana na uanasheria mkuu.Fuatilia vizuri, Mahakamani kuna pesa nyingi sana, watu wanauza hadi viwanja vya urithi kulipa wanasheria wa kuwatetea au kutoa rushwa kujinasua kwenye kesi.
Itakuwa umefatilia hizi ofisi ndogo ambao wanategemea hela za kupiga mihuri kopi za vyeti kwajili ya interview na kuandaa mikataba ya kuuziana pikipiki
Lawyers wengi sio watu wa kujitapa na kupenda attention,Kasema haizalishi mabilionea ungeambatanisha na billionea alietokana na uanasheria mkuu.
Kusoma nje na ubilionea vinaingilianaje mkuu! Maana hata masikini wanasoma nje.Lawyers wengi sio watu wa kujitapa na kupenda attention,
Watoto wa wanasheria ni moja ya kundi kubwa la wanafunzi wanaosoma nje ya nchi
Elewa neno billionaireLawyers wengi sio watu wa kujitapa na kupenda attention,
Kusoma nje sio China au India, ni nchi za Mbele huko Uk, Usa, n.k. gharama za mwaka tu zinaweza kuwa milioni 200Kusoma nje na ubilionea vinaingilianaje mkuu! Maana hata masikini wanasoma nje.
Kwamba mtu awe bilionea halafu asijulikane!!
MUelewe mleta mada kwanza na kicjwa cha habariFuatilia vizuri, Mahakamani kuna pesa nyingi sana, watu wanauza hadi viwanja vya urithi kulipa wanasheria wa kuwatetea au kutoa rushwa kujinasua kwenye kesi.
Itakuwa umefatilia hizi ofisi ndogo ambao wanategemea hela za kupiga mihuri kopi za vyeti kwajili ya interview na kuandaa mikataba ya kuuziana pikipiki