Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:

Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?

kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?

Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani? Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?

FbYq_4cWQAEnjtV.jpg
 
Naanza kuamini madai ya pesa kupigwa bilioni 600/= kwenye hili zoezi la sensa.

Huu ujanja unaofanyika sasa hivi ni wajanja wanajaribu kutafuta justification ya kile walichopiga.

Wanafanya hivyo ili ionekane zoezi la sensa lilichukua muda mrefu zaidi ya ilivyotarajiwa, ije kuonekana bajeti ya mwanzo haikutosha ndio maana kuna madai ya makarani kutolipwa pesa zao.

Kumbe ni wao wamegawanya kwa makusudi hayo mazoezi mawili [kuhesabu watu na makazi] ili kuongeza muda.
 
Naanza kuamini madai ya pesa kupigwa bilioni 600/= kwenye hili zoezi la sensa.

Huu ujanja unaofanyika sasa hivi ni wajanja wanajaribu kutafuta justification ya kile walichopiga.

Wanafanya hivyo ili ionekane zoezi la sensa lilichukua muda mrefu zaidi ya ilivyotarajiwa, ije kuonekana bajeti ya mwanzo haikutosha ndio maana kuna madai ya makarani kutolipwa pesa zao.

Bila kud*nda mbona tutatoana kor*dani?

IMG_20220830_091851_515.jpg
 
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:

Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi?
Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani?
Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?

View attachment 2339509
Juzi tu hapo walikuwa na igizo la anuani za makazi wakapiga sahivi wanarudi kwa mgongo mwingine wapige
 
Kichwa cha habari chajitosheleza.

Huwezi kupaka nyumba rangi kwa kujaribu jaribu ipi itapendeza, huku ukisahau kupiga gharama za materials na ufundi.

Hawa wa takwimu km ndio hao Tanzania sahauni maendeleo.

Hivi walishindwa nini kulipanga mazoezi haya kwa pamoja ambao yanashibihiana karibu asilimia 90?

Au ndio ile kauli yao kuwa kuanzia mwezi wa tisa MWAKA HUU FEDHA ZITAMWAGIKA MTAANI. Labda huu mtindo ndio wa kuzileta mtaani kupitia MAKARANI POSHO ZAO.

Japo naimani 40% wameshaitafuna wao viongozi wa juu.
 
Kama ulisikia KULENI KWA UREFU WA KAMBA ZENU, ulitegemea Nnape alaje?

Kila kichwa, kinawaza namna ya kuzitoa hela serikalin, kulingana na urefu wa kamba husika.
 
Mtu anakuuliza una pasi ya umeme au ya mkaa, hivi kishkwambi ulichonacho unacheza gemu? NI kweli atawaza kuunganisha sensa ya watu na makazi iende pamoja? Nasema sio rahisi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app

Kunaandikwa Mwananchi:

"Wakati wananchi wanaandikishwa kwa ajili ya sensa, wengine wanaandikisha wakulima kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku huku kukiwa na kampeni inayowataka wapangaji kulipa asilimia 10 ya kodi wanayotozwa na wamiliki wa nyumba."

Vikwazo tele sensa mikoani

Mambo lukumba lukumba.
 
Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:

Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi?
Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani?
Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?

View attachment 2339509
UPIGAJI MKUU
 
Kuna tofauti kati ya makazi na majengo. Makazi yanaweza kuwa katika majengo ila si kila jengo ni makazi ukumbuke
 
Back
Top Bottom