Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Hii nchi viongozi wetu wanatuona sie wananchi wao kama misukule vileTumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani? Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?
View attachment 2339509