Imeisha hiyo mwagitoHapo yanatengenezwa mazingira ya kupiga tozo za majengo.
Naanza kuamini madai ya pesa kupigwa bilioni 600/= kwenye hili zoezi la sensa.
Huu ujanja unaofanyika sasa hivi ni wajanja wanajaribu kutafuta justification ya kile walichopiga.
Wanafanya hivyo ili ionekane zoezi la sensa lilichukua muda mrefu zaidi ya ilivyotarajiwa, ije kuonekana bajeti ya mwanzo haikutosha ndio maana kuna madai ya makarani kutolipwa pesa zao.
Juzi tu hapo walikuwa na igizo la anuani za makazi wakapiga sahivi wanarudi kwa mgongo mwingine wapigeTumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi?
Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani?
Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?
View attachment 2339509
Watoto wao hawatafaidi chochote wanawachumia laana tuHakuna nchi nzuri kwa kuiba kama hii Tz imejaa wananchi wajinga sn
Watoto wao hawatafaidi chochote wanawachumia laana tu
Umemuona Lyatonga alivyochunwa na kuacha vita ya mirathi!
Mtu anakuuliza una pasi ya umeme au ya mkaa, hivi kishkwambi ulichonacho unacheza gemu? NI kweli atawaza kuunganisha sensa ya watu na makazi iende pamoja? Nasema sio rahisi
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
UPIGAJI MKUUTumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi?
Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani?
Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?
View attachment 2339509
Kuna tofauti kati ya makazi na majengo. Makazi yanaweza kuwa katika majengo ila si kila jengo ni makazi ukumbukeTumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi?
Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja kupunguza gharama zake za utekelezaji?
Au ni kwa vile kuna tozo zisizokuwa na idadi ziko njiani?
Si mtakamua hadi mafahali mkitegemea maziwa?
View attachment 2339509
UPIGAJI MKUU
Tumetulia mkuu. Ila hapo ni mwendo wa kuwafanya wengine maksai tu. Hakuna maziwa humo!Tulia ndugu.
Mama Ana Makinda anaupiga mwingi