Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Poor Brain Mbona tuna nusu albinoo au kubwa la manusu Half american, SI wambebe tu πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semaji pale GSM kwisha habari yakePoor Brain Mbona tuna nusu albinoo au kubwa la manusu Half american, SI wambebe tu πππ
Ndio maana nika mtag ili tujue kuwa na yeye ki....si chake deal au.Poor Brain Mbona tuna nusu albinoo au kubwa la manusu Half american, SI wambebe tu πππ
Hasa viongozi wa CCM Ndio wahusika wakuu wakifatiwa na wafanya biashara wa migodiniKuelekea uchaguzi tutegemee ndugu zetu albina kuanza kupotezwa, inasikitisha sana. Kama mungu kweli yupo sidhani kama angeumba binaadamu mweusi na kumjazia kinyesi kichwani
Eti hiyo Tanganyika ni kisiwa cha amani ndivyo wanavyosema.Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz πΉπΏ Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age).
Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea ukweli ni Kwamba wanao husika na huu mtandao ni viongozi wa serikali.
Shinyanga ni mkoa wenye wakimbizi wengi wamejichanganya humo, kuna matukio ya ukatili Yana tokea mkoani humo, pia kuna biashara haramu za silaha bado zinaendelea, pia huu mkoa unaongoza Kwa wananchi wake kuliwa na fisi Kuliko sehemu yoyote tz japo huo mkoa hakuna mbuga ya Wanyama Hata 1, Je hawa fisi wanatoka wapi?.
Pia ukiangalia wabunge walio chaguliwa tokea huo mkoa wote ni Γ Tu yani hawana akili ya kuwatatulia wananchi Kero, swali walichaguliwa Je kuwa wabunge?.
Uchunguzi ndio huo ushakaribia tz πΉπΏ, hatutacha ona kila Aina ya vituko.
Ni ukweli usio pingika kuwa siasa za tz, Zina ipeleka nchi kubaya na hasa CCM, coz hawa CCM linapofika swala la Madaraka huwa ni watu hatari Sana.
Viongozi wa CCM hufanya kila Aina ya hila ili kuendelea kubaki kwenye nafasi zao.
Hii kitu SS tumeifwatilia Kwa umakini Sana, na tume baidi viongozi wa CCM hasa madiwani ndio wanaofanya hii biashara ya kuuza vivyesi vya watoto wenye ualibno. Kwa matumizi yao binafsi na Kwa wakubwa Wao walioko juu.
Kuna diwani anaitwa Rashid matesa kutoka Morogoro mjini kata ya uwanja wa taifa, mwaka Jana 2023 kuanzia mwezi March mpaka June alikuwa na mfanyakazi wa ndani wa kike mwenye uaAlbino,umri usio Zaidi miaka 14, huyu ni mtoto alitakiwa kuwa shule kabisa. Lakini akawa mfanya Kazi wake wa ndani, baada ya BBC Swahili Ku report tukio la shinyanga, huyu binti akarudishwa kwao Moro vijijini, mbunge Abood hili swala najua unalifahamu fika.
Pia bado tunaenda na uchunguzi ata hapa DSM watoto wenye ualibno, wamefungiwa ndani kwa watu matajiri , Kwamba watawasomesha.
Kwa Kweli inasikitisha Sana kuona vyombo husika vya serikali,like police, takukuru, kutokufanya uchunguzi kamili na kuja na report sahihi.
Embe fikiria , BBC Swahili wanatoa report ya shinyanga, husikii vyombo vya serikali vikisema lolote, Je hawajui kinacho Endelea, ukweli Wao Ndio wahusika wakuu.
NB:kinyesi kinacho takiwa ni cha Albino mtoto, Kadri anavyo Zidi kuwa na umri mdogo ndio , thamani ya kinyesi chake kinapanda thamani Zaidi kwenye soko. Source BBC Swahili
Imani potofu: Kinyesi cha Albino chanunuliwa milioni 7 mkoani Shinyanga
Kweli mwanadamu haishiwi ujuha. BBC imeripoti kuwa kuna watu wananua kinyesi cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mkoani Shinyanga. Akihojiwa Mwenyekiti wa Watu wenye Albinism Mkoani humo, amedai kuwa mteja aliyemfuata, alimpa ofa shilingi Milioni 7 kwa kikopo kimoja. Haijulikani kinaenda...www.jamiiforums.com
Kama hali ndiyo hiyo hatuji kuendelea kamwe, ndiyo maana tunashinda barabarani kushangaa na kushangilia mabasi ya hao wabungeHii kitu SS tumeifwatilia Kwa umakini Sana, na tume baidi viongozi wa CCM hasa madiwani ndio wanaofanya hii biashara ya kuuza vivyesi vya watoto wenye ualibno. Kwa matumizi yao binafsi na Kwa wakubwa Wao walioko juu.
Kuna diwani anaitwa Rashid matesa kutoka Morogoro mjini kata ya uwanja wa taifa, mwaka Jana 2023 kuanzia mwezi March mpaka June alikuwa na mfanyakazi wa ndani wa kike mwenye uaAlbino,umri usio Zaidi miaka 14, huyu ni mtoto alitakiwa kuwa shule kabisa. Lakini akawa mfanya Kazi wake wa ndani, baada ya BBC Swahili Ku report tukio la shinyanga, huyu binti akarudishwa kwao Moro vijijini, mbunge Abood hili swala najua unalifahamu fika.
ππππππNilikuwa cjui kama Wana siasa wanatembea na M@vi mfukoni
Huwa naikubali sana comment yako ile ulisema ungekua mzungu ungewabagua watu weusi. Kila nikiikumbuka nacheka sana.Kuelekea uchaguzi tutegemee ndugu zetu albina kuanza kupotezwa, inasikitisha sana. Kama mungu kweli yupo sidhani kama angeumba binaadamu mweusi na kumjazia kinyesi kichwani
Usisahau wale waganga wa kanisani (Mitume,Nabii,na majina mengine wanayowaita na hawa ndio waanzilishi).Hasa viongozi wa CCM Ndio wahusika wakuu wakifatiwa na wafanya biashara wa migodini
π€£π€£π€£π€£ ππ¨Kuelekea uchaguzi tutegemee ndugu zetu albina kuanza kupotezwa, inasikitisha sana. Kama mungu kweli yupo sidhani kama angeumba binaadamu mweusi na kumjazia kinyesi kichwani
Astakafillah πππππWanataka M@vi ya mtoto Mdogo Ndio Mazuri Kwa Dawa, ukiwa MTU mzima Sana π labda apakuliwe