Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
🙉🙊Zinakua zina-cum kila wakati ndio maana zikaitwa Cummings?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙉🙊Zinakua zina-cum kila wakati ndio maana zikaitwa Cummings?
Engine ya ndege ni tofauti sana na ya gari.Si mnakumbuka zenji ndege ilikua inasukumwa kama gari za mchuzi juu?
Mi nahisi hata hizi ndege za magufuli namashaka nazo huwenda waliwekea injini ya pawatila kisha wakaifanyia mod kuifunga kwenye bonet ya ndege
Joto na masaa havimati...Nadhani issue itakuwa kwenye service. Pia hali ya hewa ya joto kama Dar sidhani kama walitilia maanani.Gari inayowashwa saa 10 alfajiri inakuja kuzimwa saa 5 usiku kama service yake ni kuweka vi oil vya bei rahisi ili kusave gharama lazima itasumbua tu,ndio maana transporters na wamiliki wa mabasi wale wakongwe kama wakina Abood, Shabiby, Kilimanjaro n.k wako makini sana kwenye hili.
Mkuu umemaliza kila kitu au kwa kiswahili cha humu ndani ni kwamba umefunga uzi.Cummins siyo shida kama ni genuine lakini ikiharibika haitaki ubabaishaji inataka fundi mwenye real know-how ya engine hiyo.
Lakini bado kuna replacement ya parts,genuine ni aghali, ndipo kunakuja kishawishi cha kununua fake parts.Na inawezekana hao UDA wamekuwa wananunua hayo mafake spare parts.
[emoji28][emoji28]Ukute hao walioagiza hawajui hata ni injini gan.....hapo unapowaambia ni cummins wanaona unawachanganya tu!
Tatizo sio mabasi tatizo ni mfumo mzima wa usafiri ni corrupt. Jiji lenye wakazi karibu milion 10 wanategemea usafiri wa mabasi na daladala au bajaji na bodaboda. Unategemea hayo mabasi ya operete vizuri kweli?Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Ile CUMMINGS ya kule data center ilikuwa ni ya mda mrefu sana mkuu. Na hata kile kidogo kilikuwa pale switch kilikuwa hoi sana. Pale Gen set waliyokuwa wanaitegemea ni ile CAT nafiri pia walinunua likiwa jipya kabisaNimeshaona engines za CUMMINGS kwenye minara ya simu, hasa airtel, ziliondolewa zote... maana zilileta shida sana... Kuna moja kubwa ilikuwa pale kijitonyama (sayansi jengo la TTCL enzi celtel wapo pale... ni balaa
Nilikuwepo pale toka inawekwa mbaka inafanya kazi.. Ishanihangaisha vya kutosha.. 500kVA. Achana na zile CAT za kule SWITCH (COeT), huku sayansi... Zile nishasema nazo sana... ILA CUMMINGS KIMEO TU... Hadi kwenye towers ilikuwa shida... KITU YANMAR BWANAIle CUMMINGS ya kule data center ilikuwa ni ya mda mrefu sana mkuu. Na hata kile kidogo kilikuwa pale switch kilikuwa hoi sana. Pale Gen set waliyokuwa wanaitegemea ni ile CAT nafiri pia walinunua likiwa jipya kabisa
halafu leo waziri anaenda kungaka eti kwanini magari mabovu, Buses 56 kati ya 140 zina shida ya gear box bado tu hatuchukui hatua, au tuliuziwa used?Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Upigaji ni mfumo endelevuhalafu leo waziri anaenda kungaka eti kwanini magari mabovu, Buses 56 kati ya 140 zina shida ya gear box bado tu hatuchukui hatua, au tuliuziwa used?
Inashangaza sana hivi kweli wataalamu wetu hawajui mazingira ya engine nyuma huku kwetu?kama yalikuwa zaidi ya 200 means walikuwa na nguvu ya ku-require kutegemeana na mazingira ya kwetu otherwise ni upigaji tu nakumbuka mwanzoni kwenye majaribio basi nililoliona lilikuwa ni brand ya MAN.Nadhani issue itakuwa kwenye service. Pia hali ya hewa ya joto kama Dar sidhani kama walitilia maanani.Gari inayowashwa saa 10 alfajiri inakuja kuzimwa saa 5 usiku kama service yake ni kuweka vi oil vya bei rahisi ili kusave gharama lazima itasumbua tu,ndio maana transporters na wamiliki wa mabasi wale wakongwe kama wakina Abood, Shabiby, Kilimanjaro n.k wako makini sana kwenye hili.
Tulioneshwa MAN zikaja GOLDEN DRAGON!View attachment 1760001Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Kwa ushauri wako, walitakiwa kuchukua zenye engine gani?Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo anzia na T000A-- au B, na ukiiona itakuwa imefungwa engine ya Scania.
Je, ni kitu gani kilipelekea serikali kufanya hii procurement?
Je, kuna watu Wana maslahi binafsi na supplier ili kila baada ya muda Fulani waagize tena mabasi?
Je, hatukuwa na hela ya kutosha kununua mabasi imara?
Tatizo lenu mnaleta siasa. Kuanzia lini injini za kichina zimekuwa imara?Kwa ushauri wako, walitakiwa kuchukua zenye engine gani?
Na safari fupi wanafunga engine gani?Tatizo lenu mnaleta siasa. Kuanzia lini injini za kichina zimekuwa imara?
Angalia mabasi ya Safari ndefu, bodi mchina injini Scania